21/05/2020
Stone Town inajipanga kuwahudumia vyema zaidi pale mambo ya Corona yatakapotulia. Pia tunajipanga kuwapa huduma katika hali ya kitahadhari wakati huu wa majanga. Mfano, tunapokea order kwa uhitaji wa vyakula pasipokuwa na mikusanyiko k**a vile MAJUMBANI. Karibuni Sana!