Women Roundtable Tanzania

Women Roundtable Tanzania A social Economic Bi-Annual Event that aim to elevate and celebrate women achievements. Host of Mwanamke Kinara Awards.

Mwanamke Kinara Awards Recognizing the achievements of women from Diverse industries who lead, inspire and motivate.

Salamu Za pongezi kwa Mwanamke Kinara (Mwanzilishi wa Tuzo za Mwanamke kinara  )kwa kujaliwa kipata mtito wa k**e 07/09/...
24/09/2023

Salamu Za pongezi kwa Mwanamke Kinara (Mwanzilishi wa Tuzo za Mwanamke kinara )kwa kujaliwa kipata mtito wa k**e 07/09/23

Kinara mpya Kazaliwa heri na baraka ziwe nanyi mama na mtoto

South Africa see you soon. We are coming.
15/06/2023

South Africa see you soon. We are coming.

Washindi wa Tuzo za Mwanamke Kinara Kufanya ziara siku 5 nchini Afrika Kusini kuanzia tarehe 16-21 Juni, 2023.Ziara hiyo...
02/06/2023

Washindi wa Tuzo za Mwanamke Kinara Kufanya ziara siku 5 nchini Afrika Kusini kuanzia tarehe 16-21 Juni, 2023.

Ziara hiyo ya Kimafunzo na Utalii ni maalumu katikati kuimarisha ushirikiano, kujifunza mbinu za kibiashara, kuona fursa za kibiashara pamoja na Kumwagilia Moyo (Utalii)

.

Dodoma leo tuna jambo letu nalo ni    Tag ulomtambua
20/05/2023

Dodoma leo tuna jambo letu nalo ni
Tag ulomtambua

Ahsanteni wote Mliojitokeza kwenye Kongamano la MWANAMKE KINARA WA MALEZI 2023.
15/05/2023

Ahsanteni wote Mliojitokeza kwenye Kongamano la MWANAMKE KINARA WA MALEZI 2023.

Ahsante Wanawake wote mliohudhuria katika Kongamano letu la Mwanamke KINARA WA MALEZI 2023.Hakika lilikuwa ni kongamano ...
14/05/2023

Ahsante Wanawake wote mliohudhuria katika Kongamano letu la Mwanamke KINARA WA MALEZI 2023.

Hakika lilikuwa ni kongamano lenye mafundisho mengi juu ya Malezi ya Watoto wetu.

Huu ni Mwanzo na tumeweka Dhamira ya Kusherehekea kila maadhimisho ya Siku ya Mama Duniani.

Dr. Joyce kutoka Hospitali ya Rufaa ya   akitoa Mada ya Kwanza kuhusu SARATANI YA KIZAZI katika Kongamano la MWANAMKE KI...
14/05/2023

Dr. Joyce kutoka Hospitali ya Rufaa ya akitoa Mada ya Kwanza kuhusu SARATANI YA KIZAZI katika Kongamano la MWANAMKE KINARA WA MALEZI 2023 linaloendelea hapa katika ukumbi wa Nyasaka.

HappyMothersDay


Happy Mother's Day Mwanamke Kinara. Mama ndio mlezi namba 1 wa Familia, wakati tukisheherekea Siku ya Mama Duniani basi ...
14/05/2023

Happy Mother's Day Mwanamke Kinara.
Mama ndio mlezi namba 1 wa Familia, wakati tukisheherekea Siku ya Mama Duniani basi tuendelee kukumbuka Majukumu yetu ya Kimalezi katika familia na Jamii yetu.

Tukutane Nyasaka kuanzia saa 6 mchana kujadili na kukumbushana Majukumu yetu Wanawake katika Malezi.

Kesho Tutakuwa  ndani ya MamboMambo na  kuzungumzia Mwanamke na Malezi.Usikose kufuatilia mjadala huu mzuri.
11/05/2023

Kesho Tutakuwa ndani ya MamboMambo na kuzungumzia Mwanamke na Malezi.

Usikose kufuatilia mjadala huu mzuri.

Nasemajeere CENTRAL WOMEN CONNECT  Haitakuwa Ile Ile, Vile Vile, Yale Yale, Bali itakuwa ni mtoko mzuri, Kwenye mandhari...
11/05/2023

Nasemajeere CENTRAL WOMEN CONNECT Haitakuwa Ile Ile, Vile Vile, Yale Yale, Bali itakuwa ni mtoko mzuri, Kwenye mandhari Nzuri yenye hadhi ya Mwanamke mwenye ndoto kubwaaa.

Utapata elimu bora yenye mafundisho mazuri, Utakula Vizuri, Utakunywa Vizuri Utacheza Vizuri kwa Burudani Nzuri hakikisha Unavaa Vizuri (Maroon ndio rangi nzuri kwa siku hiyo) kisha kaa na watu wazuri.

Ni Party ya Kusheherekea Mafanikio ya Wanawake wa Kanda ya kati, ni CENTRAL WOMEN CONNECT inakukutanisha na manguli na watu pekee wenye malengo ya kufanikiwa katika nyanja zote za maisha.

Eneo ni pale CIVILLAM SOCIAL HALL Kilimani barabara ya Iringa tarehe ni 20.05.2023 Kuanzia saa 6 mchana Kwa Kiingilio cha 50,000 tu

Tuje mapema tumalize mapema tufurahie burudani Pendwa toka kwa Christian Bella Papaa ya Masauti

Yani nyie nyie usipange kukosa. Hadhi na sifa za Kanda ya Kati zinaletwa Na CENTRAL WOMEN CONNECT.

CENTRAL WOMEN CONNECT TUNASEMA

MWANAMKE KINARA WA MALEZI! Umeangalia Kipindi? Tupe maoni yako, unadhani Mama ana mchango gani katika malezi ya Mtoto? U...
11/05/2023

MWANAMKE KINARA WA MALEZI! Umeangalia Kipindi? Tupe maoni yako, unadhani Mama ana mchango gani katika malezi ya Mtoto? Unadhani Mama kutokutimiza Majukumu ya Malezi kwa Mtoto ndio chanzo cha Mmomonyoko wa Maadili?

Kisha tukutane Jumapili hii kuanzia saa 6 mchana kujadili juu ya MWANAMKE KINARA WA MALEZI na kusheherekea Siku ya Mama Duniani.

Kumbuka Hakuna Kiingilio.

Kesho tutakuwa Live  kuanzia saa 2 Asubuhi tukizungumzia Maandalizi ya Kongamano la MWANAMKE KINARA WA MALEZI 2023 katik...
10/05/2023

Kesho tutakuwa Live kuanzia saa 2 Asubuhi tukizungumzia Maandalizi ya Kongamano la MWANAMKE KINARA WA MALEZI 2023 katika kuadhimisha Siku ya Mama Duniani 2023.

Kesho tutakujuza kwa namna gani Jukwaa hili litakusanya wanawake zaidi ya 400 katika Ukumbi wa na kujadiliana juu ya masuala ya Malezi ya Watoto na Familia.

Usikose kutufuatilia. Dondosha comment yako kuhusu nini maoni yako juu ya Mwanamke na Malezi ya Mtoto.?

Address

Nyamagana
Mwanza
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Women Roundtable Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Women Roundtable Tanzania:

Share

Category