Mc Kagodo

Mc Kagodo Je, unatafuta MC bora wa sherehe? Karibu kwa Mc Kagodo, mtaalamu wa kipekee wa sherehe yako.

16/01/2026
16/01/2026

Tunafanya kazi nzuri sana ya ushehereshajiโ€ฆ

Usifanye kosa la maisha kwenye siku yako ya kipekee.  Kuna matukio ambayo hayarudi tena โ€” na kufanya uchaguzi wa bei rah...
16/07/2025

Usifanye kosa la maisha kwenye siku yako ya kipekee.
Kuna matukio ambayo hayarudi tena โ€” na kufanya uchaguzi wa bei rahisi inaweza kukugharimu heshima na kumbukumbu nzuri.

๐ŸŽค MC KAGODO โ€” MC wa watu wakubwa, hafla zenye viwango, na matukio yasiyosahaulika.

๐Ÿ”Š MC + Muziki (Full sound experience)*
Kwa kuanzia Tsh 1,500,000 unapata:
โœ… Ushehereshaji wa kitaalamu
โœ… Muziki safi wenye ladha ya tukio lako
โœ… Ratiba inayokwenda kwa wakati
โœ… Ushawishi kwa wageni โ€” hawataki kuondoka
โœ… Na... HAKUNA MC mwingine k**a huyu!
โš ๏ธ Wateja wa August hadi Desemba wanaendelea kuweka oda za hadi sasa hivi.
๐Ÿ“Booking zinazotolewa kwa walio tayari na kulipia tu
โณ Nafasi ni chache โ€” tunahudumia hafla chache kwa ubora wa hali ya juu.

๐Ÿ“ฒ Tuma neno โ€œMCโ€ sasa inbox au WhatsApp โ€” usikose nafasi yako.

MC Maalumu kwa Harusi na Sherehe Zote!Unatafuta MC anayetoa burudani ya kiwango cha juu kwenye harusi au event yako?Mimi...
30/06/2025

MC Maalumu kwa Harusi na Sherehe Zote!

Unatafuta MC anayetoa burudani ya kiwango cha juu kwenye harusi au event yako?

Mimi ndiye MC Kagodo โ€“ mcheshi, mwenye nidhamu na uzoefu mkubwa kwenye harusi, sendoff, na sherehe nyingine!

๐Ÿ’ Harusi
๐ŸŽ‚ Birthday
๐Ÿ‘ฐ Sendoff
๐ŸŽŠ Kipaimara na kitchen party

๐Ÿ”ฅ Book sasa kwa tarehe yako โ€“ nafasi zinajaa haraka!

โœ… Bei rafiki
โœ… Maandalizi ya script
โœ… Kazi kwa viwango vya kisasa

Bofya โ€œSend Messageโ€ sasa hivi ili tufanye maajabu kwenye siku yako maalum!

Tunawahudumia wateja wetu katika ubora wa hali ya juu sana asanteni sana wana Kishapu
12/05/2025

Tunawahudumia wateja wetu katika ubora wa hali ya juu sana asanteni sana wana Kishapu

Address

Igogo
Mwanza
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mc Kagodo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mc Kagodo:

Share