Mc Barnaba

Mc Barnaba Cha msingi ni watu kuzingatia muda wa kuanza sherehe kuhakikisha ratiba yangu ya sherehe husika inafuatwa kwa ufasaha bila kuchelewesha watu muda wa kula

R.I.P Legend
16/11/2025

R.I.P Legend

Mr& Mr's Jackson Massawe
09/08/2025

Mr& Mr's Jackson Massawe

09/08/2025
๐ŸŽ‰ Hongera nyingi kwako Mr. Chrispin Thomas ๐Ÿ‘Safari ya maisha umepiga hatua mpya na ya heshima, umeandika ukurasa mpya wa...
08/08/2025

๐ŸŽ‰ Hongera nyingi kwako Mr. Chrispin Thomas ๐Ÿ‘

Safari ya maisha umepiga hatua mpya na ya heshima, umeandika ukurasa mpya wa furaha, heshima na upendo.
Ni heshima yangu kubwa kushuhudia na kuwa sehemu ya tukio lako maalum.

Baraka tele katika kila hatua ya maisha yako mapya! ๐Ÿ™





'sChrispinThomaswedding

Saraphina (MR'S CHRISPIN)Utulivu wake, tabasamu lake, na heshima anayobeba , ni ishara ya malkia wa kweli. Hongera MRโ€™S ...
07/08/2025

Saraphina (MR'S CHRISPIN)

Utulivu wake, tabasamu lake, na heshima anayobeba , ni ishara ya malkia wa kweli.
Hongera MRโ€™S CHRISPIN ๐Ÿ’๐Ÿ‘‘

Furaha ya kweli hujaa pale unapozungukwa na marafiki wa kweli. Harusi ya Mr and Mrs Chrispin Thomas ilikuwa zaidi ya tuk...
04/08/2025

Furaha ya kweli hujaa pale unapozungukwa na marafiki wa kweli. Harusi ya Mr and Mrs Chrispin Thomas ilikuwa zaidi ya tukio, ilikuwa ni ushuhuda wa upendo, umoja, na furaha isiyo na kifani. ๐Ÿ’โค๏ธ




"

Baba mzee Thomas akiwaongoza kwa hekima na baraka, akiwakabidhi maharusi zawadi takatifu ya Biblia, msingi wa upendo wa ...
03/08/2025

Baba mzee Thomas akiwaongoza kwa hekima na baraka, akiwakabidhi maharusi zawadi takatifu ya Biblia, msingi wa upendo wa kweli na ndoa imara. ๐Ÿ™๐Ÿ“–




"

โœจ Shampeign Time! ๐ŸพUsiku mzuri wa kipekee, wenye kila dalili za furaha, upendo na burudani ya kiwango cha juu!Tukiadhimi...
02/08/2025

โœจ Shampeign Time! ๐Ÿพ
Usiku mzuri wa kipekee, wenye kila dalili za furaha, upendo na burudani ya kiwango cha juu!
Tukiadhimisha ndoa ya tulifungua shampeign kwa heshima yao. kila tone ni shuhuda ya safari yao ya upendo! โค๏ธ

๐ŸŽค Na mimi k**a MC wenu, , nilihakikisha burudani haikosekani!






๐Ÿ“ธ by
Decor by
๐Ÿพ

Furaha ilitawala pale Mr & Mrs Chrispin Thomas walipokata keki yao ya ndoa mbele ya ndugu na jamaa ๐Ÿ’โค๏ธNikiwa Mc wao, nil...
01/08/2025

Furaha ilitawala pale Mr & Mrs Chrispin Thomas walipokata keki yao ya ndoa mbele ya ndugu na jamaa ๐Ÿ’โค๏ธ
Nikiwa Mc wao, niliongoza tukio hili la upendo na ladha ya kipekee!

#




๐Ÿ“ธ:

Nawaleta kwenu...The official Mr and Mrs Chrispin Thomas! ๐Ÿ’โœจIlikuwa ni furaha na heshima kubwa kusimama mbele ya ndugu, ...
31/07/2025

Nawaleta kwenu...
The official Mr and Mrs Chrispin Thomas! ๐Ÿ’โœจ

Ilikuwa ni furaha na heshima kubwa kusimama mbele ya ndugu, jamaa na marafiki k**a MC wa tukio hili adhimu la harusi yao.
Upendo wao uliangaza k**a jua, furaha ilitawala, na kila mgeni alishuhudia historia ikiandikwa kwa namna ya kipekee.

๐Ÿ™ Asanteni kwa kuniamini kusimamia siku yenu maalum kwa ubora na ubunifu wa hali ya juu.

๐Ÿ“ฃ Kwa matukio yako ya harusi, sendoff na zaidi. nipo kwa ajili yako.

Weka booking mapema kupitia namba 0768424018

#
#
#

Decor by:
๐Ÿ“ธ by:

#

Address

Bugando
Mwamza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255768424018

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mc Barnaba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mc Barnaba:

Share