31/05/2026
Hawa ndiyo maboss wangu yaani,Nilichogundua vijana wengi wapo mtaani na wanaskills nyingi. K**a unaanza mapambo hakikisha unajua kazi unayoifanya tafuta kijana wafundishe wataelewa then wathamini, wajali walipe kwa wakati utatoboa lkn k**a wewe hujui kitu na unategemea vijana kwa kila kitu itakula kwako😀
sendoff