Lilian Catering services

Lilian Catering services Tunatoa huduma ya catering kwenye shughuli mbalimbali mfano; Harusi,Kitchen party,mikutano ya kiofi

Hii ilikua siku maalum kabisa kwa Dr Mariam Yondo. Alituamini akatupa fursa tukafanya yetu. Mahanjumati yalikua poa. Tun...
03/11/2016

Hii ilikua siku maalum kabisa kwa Dr Mariam Yondo. Alituamini akatupa fursa tukafanya yetu. Mahanjumati yalikua poa. Tunakukaribisha na wewe 0713052379

Asante FUNDACION PARAGUAYA kwa kutuweka mjini jana....ilikua nyomi sanaaaaa..Viwanja Vya Morogoro secondary..Thanx God i...
15/10/2016

Asante FUNDACION PARAGUAYA kwa kutuweka mjini jana....ilikua nyomi sanaaaaa..Viwanja Vya Morogoro secondary..Thanx God ilikwenda vzr

Tunawapa huduma kwa viwango vya kisasa kabisa....ndani ya TanzaniteComplex Hall Moro hiyoooo
02/10/2016

Tunawapa huduma kwa viwango vya kisasa kabisa....ndani ya TanzaniteComplex Hall Moro hiyoooo

Maharusi pamoja  na wazazi wakipata huduma mojawapo ya buffet zetu....Tanzanite Complex Morogoro....
02/10/2016

Maharusi pamoja na wazazi wakipata huduma mojawapo ya buffet zetu....Tanzanite Complex Morogoro....

23/09/2016
With my friend Mc Chips....working together
07/09/2016

With my friend Mc Chips....working together

Kwenye hafla fupi ya kumuaga DC wa Mvomero Mh. Betty Mkwasa. Tunashukuru kwa kutuamini. Tunapenda kuwakaribisha wengine ...
18/08/2016

Kwenye hafla fupi ya kumuaga DC wa Mvomero Mh. Betty Mkwasa. Tunashukuru kwa kutuamini. Tunapenda kuwakaribisha wengine wenye sherehe na shughuli mbali mbali Lilian's catering tuko kwa ajili yako!

Harusi ya Bwana na Bi Celestine kwenye uwanja wa nyumbani Bwalo la Umwema mjini Morogoro. Huduma za catering zimetolewa ...
28/06/2016

Harusi ya Bwana na Bi Celestine kwenye uwanja wa nyumbani Bwalo la Umwema mjini Morogoro. Huduma za catering zimetolewa nasi Lilian's catering service.

Matukio: Lillian's Catering tumehudumia kwenye mkutano wa kiserikali leo hii.
17/06/2016

Matukio: Lillian's Catering tumehudumia kwenye mkutano wa kiserikali leo hii.

Lillian's catering at your service, tunaendelea kuwakaribisha wote mnaohitaji huduma ya chakula kwenye sherehe au shughu...
09/06/2016

Lillian's catering at your service, tunaendelea kuwakaribisha wote mnaohitaji huduma ya chakula kwenye sherehe au shughuli zozote za kifamilia mikoa ya DSM, Morogoro na Pwani.

Tumefurahi kutoa huduma ya chakula kwenye harusi ya Bwana na Bi Edison Kitanda.  Ilikua ni tarehe 21/5/2016 ukumbi wa Mi...
23/05/2016

Tumefurahi kutoa huduma ya chakula kwenye harusi ya Bwana na Bi Edison Kitanda. Ilikua ni tarehe 21/5/2016 ukumbi wa Midland Hotel Morogoro. Mungu awajalie ndoa yenu idumu

Hapa kazi tu, Lilian's catering hakuna kulala. Karibuni kwa chakula safi na huduma safi zinazozingatia viwango.
22/05/2016

Hapa kazi tu, Lilian's catering hakuna kulala. Karibuni kwa chakula safi na huduma safi zinazozingatia viwango.

Address

Available At Tushikamane Center. . . . Morogoro
Morogoro
255

Telephone

0713052379

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lilian Catering services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share