Scarlet Events LLC

Scarlet Events LLC we will provide you with your own personal wedding planner, who can guide your through the run-up to your big day.

Welcome to Mluge & Company Wedding & Events, where you are surrounded by Love, Beauty and Inspiration! We pride ourselves on delivering wedding ceremonies and receptions/ events that are modern, glamourous, unique, creative, luxurious and filled with love! Coordination is the key to ensuring your Events/Wedding day flows just as planned! Welcome to the new era of wedding and events coordinators

that will ensure your event/wedding day is simply perfect in everyway. As part of our service, every detail of your event is carefully discussed with you to ensure your day is just how you have always dreamed. From ceremony location to ceremony/event setup, colour themes, and wet-weather options & styled by a professional interior designer,we will do everything to ensure your day is perfect. You can be reassured that you are working with the best. All of our wedding coordinators and events managers are highly trained professionals that have a real passion for weddings/events and pride themselves on delivering simply stunning events as well as 5 star service! We are outdoor and indoor wedding and event specialists, both religious, and civil, in a range of venues including beach weddings, park, garden weddings, indoor venues, chapel and church. We have many beach wedding ideas and garden wedding ideas sure to make your day most memorable! For a unique and fashionable wedding/event be sure to contact us for a complimentary consultation with one of our wedding experts.We have formed relationships with a large network of venues and event specialists, in order to bring you the best quality and service available for all your event needs, including:

Beauty specialists

Cake designers w Florists

Car hire companies

Celebrants

Dress designers & retailers

Entertainers

Gift companies

Photographers & Videographers

Prop hire If you would like any further information on the above, please do not hesitate to ask!

Meet The Team.We've created the most effective way to outsource your accounting and bookkeeping.
23/10/2017

Meet The Team.

We've created the most effective way to outsource your accounting and bookkeeping.

Moja kati ya inayofanya watu wangi wafilisike kwenye biashara zao na waliowekeza kwenye kilimo ni kufanya biashara au ki...
27/09/2017

Moja kati ya inayofanya watu wangi wafilisike kwenye biashara zao na waliowekeza kwenye kilimo ni kufanya biashara au kilimo kwa mkurupuko yani mtu anafanya maamuzi ya kuanza biashara au kilimo bila kufanya tafiti na kupata taarifa sahihi za biashara au kilimo anachotaka kukifanya.

Biashara ya hisa imewakalia kushoto sana watanzania hasa wale wenye kipato cha kati na chini , hii husababishwa kwa kuto...
23/09/2017

Biashara ya hisa imewakalia kushoto sana watanzania hasa wale wenye kipato cha kati na chini , hii husababishwa kwa kutokua na elimu ya kutosha juu ya faida ambazo mfanyabiashara au mjasiriamali anaweza zipata iwapo atanunua hisa za makampuni yalioorodheshwa katika soko la hisa la dsm -DSE.

Unalitambua soko la hisa la dar es salaam linatambulika k**a DSE, ambapo ni sehemu ya uwekezaji kwa kununua hisa zilizow...
23/09/2017

Unalitambua soko la hisa la dar es salaam linatambulika k**a DSE, ambapo ni sehemu ya uwekezaji kwa kununua hisa zilizowekwa sokoni na makampuni hapa Tanzania!!??
Unatmbua faida utakazozipata k**a utafanya biashara ya kuwekeza kwenye kununua hisa dse!!??
Tembelea website yao kujua mengi zaid.

Maskin/fukara hua hafanikiwi sio kwa sababu anampuuza fukara hapa bali kwakua maskin huyu kila akifanya ibada mbele za m...
17/09/2017

Maskin/fukara hua hafanikiwi sio kwa sababu anampuuza fukara hapa bali kwakua maskin huyu kila akifanya ibada mbele za mungu hua anatoa malalamiko na sio kuomba wala kushukuru. Yan yeye akifika ibadan anakaz ya kulalamika tu mbna yule tumesoma wote lakin anakaz mim sina kwann biashara zangu azikui wakat yele mwenzangu biashara yake inakua hayo ni baadhi ya malalamiko ambayo watu hutoa mbele za mungu na mungu husikia kwa maana sio kiziw hata asisikie. Na siku zinapita bila kuona mafanikio na kuendelea sana kumlaumu mungu bila kujua kua mungu hajatenda lolote kwako sababu hujafanya ibada ya maombi bali ulifanya ibada ya malalamiko mbele zake. Nakushauri ndugu yangu unapofanya ibada omba lilekusudio lako na kushukuru ata kwa kile kdogo ulichokipata acha kulalamika. Matajiri wanaendelea kufanikiwa na kupokea baraka sababu wao wakifika kwenye ibada ibada yao kubwa hua ni ibada ya sifa na kumshukuru mungu na mungu huwaongeza.

Usalama wa Mali Za Biashara na Nyumba yako zipo Mikononi Mwako. Wasiliana na Wataalamu Leo                       .invest...
15/09/2017

Usalama wa Mali Za Biashara na Nyumba yako zipo Mikononi Mwako. Wasiliana na Wataalamu Leo .investment

Mfanyabiashara unashauliwa kua na matumizi sahihi ya simu yako kwenye biashara ili kuongeza ufanisi katika kazi zako.
15/09/2017

Mfanyabiashara unashauliwa kua na matumizi sahihi ya simu yako kwenye biashara ili kuongeza ufanisi katika kazi zako.

Unajua Sababu Kwanin Baadhi ya Wateja wanatoka maeneo ya mbali kwenda katika duka flani kununua mahitaji yao na Kuacha m...
15/09/2017

Unajua Sababu Kwanin Baadhi ya Wateja wanatoka maeneo ya mbali kwenda katika duka flani kununua mahitaji yao na Kuacha maduka yaliopo karibu nao yenye bidhaa sawa na zile tena kwa bei nafuu zaidi!!?? Hii hutokana na weredi wa mfanyabiasha wa kuweza kuongeza thaman katika bidhaa zake either kwa kutoa huduma nzuri kwa mteja ikiwemo lugha nzuri au kufanya biashara kwenye mazingira safi zaid au kupack bidhaa kwenye vifungashio vilivobora zaidi izi ni baadhi tu ya vitu unavoweza kufanya ilikuongeza thaman kwa bidhaa yako nahivo kupelekea wateja kuvutiwa na kukubali kununua bidhaa zako licha ya kuuuza bidhaa zako kwa bei ya juu zaid ya wengine. Kutana na Wataalamu wa Masoko Upate Elimu, ushauri na Kukutengenezea mipango yakinifu ili kukusaidi kuongeza thaman ya bidhaa zako na kukua kwa Biashara zako kwa Gharama Nafuu.

Moja kati ya vinavofanya biashara kutokuweza kukua na wakat mwingine kupelekea baadhi ya biashara kufa ni pamoja na kuto...
14/09/2017

Moja kati ya vinavofanya biashara kutokuweza kukua na wakat mwingine kupelekea baadhi ya biashara kufa ni pamoja na kutokutunza kumbukumbu sahihi za hesabu za biashara. Wafanyabiashara wengi wadogo hushindwa kutunza kumbukumbu za hesabu za biashara zao, hii ni kutokana na kutokufahamu umuhimu wake lakin wengine kudharau biashara anayoifanya kwa kusema biashara yenyew mtaji na faida ndogo hakuna hakuna haja ya lakin wapo wafanyabiashara wengine wanashindwa kutunza kumbukumbu za biashara zao kwakua hawajaenda shule so hawajui kusoma na kuandika lakin wapo waliosoma na hawatunzi kumbukumbu kwa sababu hawajui ni nini cha kutunza kipi aandike kwenye daftari la kumbukumbu zake za biashara na kipi asikiandike. Na wapo ambao wanashindwa kutfutacwataalamu wawasaidie kuandaa na kuwafundisha jinsi ya kutunza kumbukumbu izo kwa kuhofia gharama, Tafuta Leo Mtaalamu wa Biashara aweze kukusaidia kuandaa kutunza hesabu zako za biashara. wasiliana Nasi Kupitia Nambari au Email hapo Juu tuweze kukusaidia kwa gharama Nafuu Sana.

Strategy & Business Development Partner - NorthLake Co Ltd
04/08/2017

Strategy & Business Development Partner - NorthLake Co Ltd

We are leading Fastest growing catering service providers in East Africa.
02/08/2017

We are leading Fastest growing catering service providers in East Africa.

  Fursa ya Biashara na Ujasiriamali Dodoma 2017
02/08/2017

Fursa ya Biashara na Ujasiriamali Dodoma 2017

Address

Dar Es Salam
35091

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Scarlet Events LLC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Scarlet Events LLC:

Share