Birthdaygifty

  • Home
  • Birthdaygifty

Birthdaygifty Ni party inayowaleta sehemu moja watu waliozaliwa mwezi mmoja wa kufanana kwa ajili ya kusherehekea

12/01/2021
Birthday Twins Party, get ur ticket now
18/12/2020

Birthday Twins Party, get ur ticket now

22/11/2020

Umuhimu wa mwanadamu kwa wanyama wasio na utashi.

Parting, food, entertainment and making you attain your dream. Those are what  offers you through Book your ticket now a...
12/11/2020

Parting, food, entertainment and making you attain your dream. Those are what offers you through

Book your ticket now and meet your twins to enjoy your birthdays together.

Ukafanikiwe hata na zaidi, happy birthday
09/11/2020

Ukafanikiwe hata na zaidi, happy birthday

25/10/2020

Birthday Twins Party ni event inayowaleta sehemu moja watu mliozaliwa mwezi mmoja wa kufanana ili kusherehekea birthday zenu kwa pamoja. Chakula, burudani sambamba na zawadi nzuri ya birthday kutolewa bure.

K**a umezaliwa tarehe yoyote ya mwezi November na unahitaji zawadi ya birthday kwa kutimiziwa ndoto yako uliyonayo, basi hakikisha unashiriki Birthday Twins Party itakayofanyika tarehe 30 November Coco Beach.
Tembelea duka la lililopo sinza madukani ukiwa na kitambulisho au cheti kinachoonesha umezaliwa mwezi November ili ujipatie ticket yako mapema. Au piga 0767921476 ili kusikilizwa.

tunathamini siku yako ya kuzaliwa kwa kukuzawadia unachostahili.

KUMBUKA: Birthday Twins Party ipo kila mwezi na ni kwa waliozaliwa mwezi husika pekee, hivyo uliyezaliwa mwezi unaofuata jiandae maana party yako inakuja.

  ---October 2, 1989 alizaliwa Nasibu Abdul Juma Issack . Kijana wa Kitanzania ambae ameweza kuthibitisha kwa Vitendo ku...
02/10/2020

---
October 2, 1989 alizaliwa Nasibu Abdul Juma Issack . Kijana wa Kitanzania ambae ameweza kuthibitisha kwa Vitendo kuwa unaweza kuwa yeyote Yule Duniani bila kujalisha umetokea katika Familia yenye Hali gani ya kiuchumi .

Nasibu Abdul () ameweza kuipa heshima Kubwa Tanzania katika Tasnia ya Muziki Duniani, na kuifanya Dunia kuitazama kwa Jicho la Heshima Tanzania kwenye Nyanja ya Muziki na Burudani .

Kupitia Muziki ameweza kuyashika na kuyabadilisha maisha ya Vijana wengi wenye Vipaji mtaani , Kwa kuwapa Ajira Rasmi au kuwafanikishia ndoto zao za kimuziki kupitia Lebo aliyoianzisha ya .

Na Leo hii tunasheherekea Siku yake ya Kuzaliwa Shujaa huyu wa Tanzania 🇹🇿, akiwa k**a Mwanamuziki Nguli , Mfanyabiashara mkubwa barani Afrika na Mkurugenzi Mkuu wa , , na !

HAPPY BIRTHDAY BIG , HAPPY BIRTHDAY LION 🦁! 🎂 🎉🎈🎁

Naitwa  smalisa nafurahia kuzaliwa leo tarehe 7september, nitakuwepo Birthmonth Twins Party tarehe 30 kusherehekea pamoj...
07/09/2020

Naitwa smalisa nafurahia kuzaliwa leo tarehe 7september, nitakuwepo Birthmonth Twins Party tarehe 30 kusherehekea pamoja na mapacha wenzangu wote waliozaliwa mwezi sawa nami.

Birthmonth Twins ni party inayojumuisha wale wote mliozaliwa mwezi mmoja wa kufanana(twins/mapacha) ili kusherehekea birthday zenu kwa pamoja. Cake, chakula,vinywaji pamoja na burudani ya muziki kutoka kwa wasanii wanaokuwa wamependekezwa kwa wingi na ninyi wenyewe. Lakini lililo kubwa zaidi ni kupokea zawadi za birthday bureee kabisaaaa.

Ili kushiriki unapaswa kutuonesha tarehe uliyozaliwa kwa kitambulisho chochote au cheti cha kuzaliwa, kisha utapatiwa ticket ya kushiriki party ya Birthmonth Twins na kupatiwa zawadi bure kabisa.

Naitwa  nafurahia kuzaliwa leo tarehe 7september, nitakuwepo Birthmonth Twins Party tarehe 30 kusherehekea pamoja na map...
06/09/2020

Naitwa nafurahia kuzaliwa leo tarehe 7september, nitakuwepo Birthmonth Twins Party tarehe 30 kusherehekea pamoja na mapacha wenzangu wote waliozaliwa mwezi sawa nami.

Birthmonth Twins ni party inayojumuisha wale wote mliozaliwa mwezi mmoja wa kufanana(twins/mapacha) ili kusherehekea birthday zenu kwa pamoja. Cake, chakula,vinywaji pamoja na burudani ya muziki kutoka kwa wasanii wanaokuwa wamependekezwa kwa wingi na ninyi wenyewe. Lakini lililo kubwa zaidi ni kupokea zawadi za birthday bureee kabisaaaa.

Ili kushiriki unapaswa kutuonesha tarehe uliyozaliwa kwa kitambulisho chochote au cheti cha kuzaliwa, kisha utapatiwa ticket ya kushiriki party ya Birthmonth Twins na kupatiwa zawadi bure kabisa.

Naitwa  akidoti nafurahia kuzaliwa leo tarehe 7september, nitakuwepo Birthmonth Twins Party tarehe 30 kusherehekea pamoj...
06/09/2020

Naitwa akidoti nafurahia kuzaliwa leo tarehe 7september, nitakuwepo Birthmonth Twins Party tarehe 30 kusherehekea pamoja na mapacha wenzangu wote waliozaliwa mwezi sawa nami.

Birthmonth Twins ni party inayojumuisha wale wote mliozaliwa mwezi mmoja wa kufanana(twins/mapacha) ili kusherehekea birthday zenu kwa pamoja. Cake, chakula,vinywaji pamoja na burudani ya muziki kutoka kwa wasanii wanaokuwa wamependekezwa kwa wingi na ninyi wenyewe. Lakini lililo kubwa zaidi ni kupokea zawadi za birthday bureee kabisaaaa.

Ili kushiriki unapaswa kutuonesha tarehe uliyozaliwa kwa kitambulisho chochote au cheti cha kuzaliwa, kisha utapatiwa ticket ya kushiriki party ya Birthmonth Twins na kupatiwa zawadi bure kabisa.

Address

Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Birthdaygifty posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Birthdaygifty:

  • Want your business to be the top-listed Event Planning Service?

Share