MC Teacher

MC Teacher Competent master of ceremony known as MC TEACHER

Sherehe ni pamoja na zawadi Hongera wazazi kwa kuwazawadia maharusi   ya bag za kisasa zilizojaa mavazi/ vitenge  # Ngo"...
21/07/2026

Sherehe ni pamoja na zawadi
Hongera wazazi kwa kuwazawadia maharusi
ya bag za kisasa zilizojaa mavazi/ vitenge
# Ngo"mbe watatu maziwa
# Dinner set n.k

Kapokee zawadi  Mama unastahili  # Godlisten & Joselina  # Best choice hall
18/07/2026

Kapokee zawadi Mama unastahili
# Godlisten & Joselina
# Best choice hall

Ulikuwa unajua kuwa zipo aina mbili tu  za ndafu Duniani kote moja ni ya kichaga nyingine ni ya kihehe !!
18/07/2026

Ulikuwa unajua kuwa zipo aina mbili tu za ndafu Duniani kote moja ni ya kichaga nyingine ni ya kihehe !!

SIFA 10 ZA MKE BORAMcha MunguMnyenyekevuMchapakaziAsiyependa makuuMkarimuMwaminifuMtiifuMcheshiAliyeelimikaMvumilivuunad...
01/07/2026

SIFA 10 ZA MKE BORA
Mcha Mungu
Mnyenyekevu
Mchapakazi
Asiyependa makuu
Mkarimu
Mwaminifu
Mtiifu
Mcheshi
Aliyeelimika
Mvumilivu

unadhani kuna zaidi ya sifa hizo?

Another year,another blessing.”
08/05/2026

Another year,another blessing.”

20/04/2026

Pata uhondo wa ngoma ya kihaya

12/04/2026
Burudika na ngoma ya kigoma ukisikia kiu nitakuburudisha kwa maji ya kuaminika kutoka kigoma Kwa mahitaji ya maji ya jum...
06/04/2026

Burudika na ngoma ya kigoma ukisikia kiu nitakuburudisha kwa maji ya kuaminika kutoka kigoma
Kwa mahitaji ya maji ya jumla na reja reja Tumefungua ofisi zetu KIFURU karibu na baa maarufu ya G7 lakini k**a haitoshi tunakusafirishia popote ulipo ndani na nje ya Dsm nipigie 0658000202/0764645989
AGLO NATURAL SPRING WATER HABARI YA MJINI

Nakutakia wewe na familia yako heri ya pasaka
05/04/2026

Nakutakia wewe na familia yako heri ya pasaka

Address

1683
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MC Teacher posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category