MC Mwandete

MC Mwandete Mc |Events planner| Pharm Tech |Presenter
For Booking
0753 304 066

11/06/2026

Hivi ndivyo tulivyo uanza usiku wa &ESTER 💍 Ndani ya Delux hall with PROFESSIONAL CREW MC MWANDETE

11/06/2026

Watu wapewe burudani , kwenye sherehe kati ya ratiba Muhimu ni ya watu kucheza Muziki na kufurahi ,muziki gani ukipigwa unakugusa zaidi ukiwa kwenye sherehe MC MWANDETE

11/06/2026

I was trying to catch the beat… but the beat clearly had other plans for me 😂💃🏾🕺🏾 PROFESSIONAL CREW MC MWANDETE

11/06/2026

Umesha wahi kutana na mtu ambae alifika na kuanza kuzungumza na simu kwa nguvu sana !!?? K**a ndiyo Ulichukua umamuzi gani?? Na je una mshauri nini hebu tuzungumze hapa ’s talk MC MWANDETE DREAM BUILDER & LIFE COACH

11/06/2026

Ni kittu gani huwa unakiona mtu anafanya sehemu isiyohusikq na kinamshushia thamani yake, Tujifunze kufanya mambo kutokana na eneo husika ! ’s talk Program na DREAM BUILDER & LIFE COACH MC MWANDETE

11/06/2026

Hili busu ❤️❤️❤️ nyie kupendwa raha ❤️❤️ &ESTER💍 MC MWANDETE

11/06/2026

Love is so much beautiful ❤️❤️🔥 yaan hadi raha nikiwaangalia hawa maharusi wetu &ESTER💍 MC MWANDETE

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MC Mwandete posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MC Mwandete:

Share