School Of Thought

School Of Thought Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from School Of Thought, P. o BOX 69001, Dar es Salaam.

12/12/2017

UNAWEZA KUTOKA MAHALI ULIPO.

Kila jambo na wakati wake chini ya jua.
Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna. Kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka.
Niliwahi kujiuliza k**a nyakati zisingebadilika ina maana masikini na wenye shida wangebaki na matatizo yao, na matajiri kadhalika.

Lkn mungu ni wa ajabu aliweka nyakati ili yule ambaye leo yuko juu akikosea kanuni za kuwa juu ashuke chini na yule anayetembea kwenye kanuni za mafanikio apande juu.

K**a unalia sana na umekata tamaa mwisho wa msiba wako umefika, umeteswa na umasikini na umejiapia utakufa nao maan huoni msaada. Wakati wa kulia., kuteswa na maumivu mengi unapita na unakuja wakati wako wa furaha wa kusahau taabu.

Cha kufanya ni kuzingatia kanuni muhimu zinazoweza kukutoa hapo ulipo na kukupeleka kwenye kicheko chako. Wale waliofanikiwa walizingatia kanuni za kuwa juu. Endelea kufuatilia page hii kila wakati utajifunza mengi zaidi
Barikiwa!!!

yako itatimia, thubutu #

29/11/2017

USIMFICHE BWANA DHAMBI GEUKA, ANA KUSUDI NAWE.

Ole wao wanaojitahidi kumficha BWANA mashauri yao, na matendo yao yamo gizani, nao husema, ni nani atuonaye? Nani atujuaye? Isaya 29:15.

Bible inasema ktk Mith 28:13, "Afichaye dhambi zake hatafanikiwa.
Katika Mith 29:1, Amesema, "Aonywaye Mara nyingi akishupaza shingo atavunjika ghafla, wala hapati dawa".

Kuna mtu Mungu amekuonya kupitia watumishi wake, umekataa kugeuka. Amepiga uchumi wako ili ugeuke bado hukuelewa, akakuletea majanga, magonjwa na misiba umedharau.

Sasa imebaki nafasi moja tu, kwani anakutahadharisha kwamba hutafanikiwa ktk njia zako zote hadi utakapomgeukia. Nafasi iliyobk ni ya hatua moja kwenda kwenye baraka/uzima au kutumbukia kwenye laana/mauti.

Amua sasa, geuka na utubu, maana Kristo anakutazama kwa jicho la huruma msalabani.

Kwake hakuna siri, mwambie, Niko hapa Bwana, niguse upya!

lisilowezekana #

19/04/2017
"Na lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; kwa kuwa hekima na uweza ni wake"
12/11/2016

"Na lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; kwa kuwa hekima na uweza ni wake"

05/11/2016
K**a unataka kufanikiwa jifunze kwa waliofanikiwa. Huwezi kufanikiwa kwa kukaa na watu masikini. Kwa kawaida mtu pekee a...
29/10/2016

K**a unataka kufanikiwa jifunze kwa waliofanikiwa. Huwezi kufanikiwa kwa kukaa na watu masikini. Kwa kawaida mtu pekee anayeweza kumwinua aliyeketi chini ni yule tu aliyesimama. Aliyekaa hawezi kumwinua aliyekaa. Hili halihitaji elimu ya chuo kikuu. K**a hujui jambo fulani, kaa na mtu anayelijua jambo hilo, baada ya muda utalijua analolijua.

BWANA haangalii k**a binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo. 1Samweli 16:...
03/10/2016

BWANA haangalii k**a binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo. 1Samweli 16:7b

Wamekosea wakakudharau kwa kukutazama nje, wamekutukana kwa kukutazama nje, wamekupora haki yako kwa kukutazama nje, hawakuthamini mawazo yako sababu wanakutazama nje. Yuko Yesu anayetazama moyo. Leo atakurudisha kwenye nafasi yako ya kifalme, nawe utatawala na kufanikiwa k**a Daudi.

K**a milima inavyozunguka Yerusalemu,  Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele. Zab 125:2Mungu...
01/10/2016

K**a milima inavyozunguka Yerusalemu, Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele. Zab 125:2

Mungu atakuzunguka kwa kila jambo utakalofanya. Atakuzunguka kwenye ndoa yako, kwenye kazi yako, kwenye biashara yako, kwenye elimu yako, kwenye ofisi yako, kwenye huduma yako, kwenye familia yako, kwenye safari yako; Tangu sasa na hata milele ktk jina la Yesu.

Type AMEN na SHARE kupokea ulinzi wa Mungu

Akatoka akaenda mpaka chemchemi ya maji, akatupa ile chumvi humo ndani, akasema, BWANA asema hivi, Nimeyaponya maji haya...
24/09/2016

Akatoka akaenda mpaka chemchemi ya maji, akatupa ile chumvi humo ndani, akasema, BWANA asema hivi, Nimeyaponya maji haya; hakutatoka tena kufa wala kuzaa mapooza. 2Falm 2:21

Kila mauti waliyokuwekea ikayeyuke, misiba waliyokutengenezea ikawageukie, mashimo waliyokuchimbia yakawafukie wao, nyavu na mitego waliyokutegea ikawanase wenyewe. Fufuka na uwe hai toka kila kaburi lililozika mafanikio yako katika jina la YESU
's upon you #

Usiogope kwa sababu ya hao maana mimi nipo pamoja nawe nikuokoe, asema BWANA. Yer 1:8Mungu yuko pamoja nawe katika kila ...
23/09/2016

Usiogope kwa sababu ya hao maana mimi nipo pamoja nawe nikuokoe, asema BWANA. Yer 1:8

Mungu yuko pamoja nawe katika kila hatua unayotembea, huna haja ya kuogopa jambo lolote. Maadui zako watapigwa vibaya mbele zako kwa Bwana hatakuacha uende peke yako.

Address

P. O BOX 69001
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when School Of Thought posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share