Upendo Florist

Upendo Florist Karibu sana Upendo Florist kwa maua, vyungu vya maua,stand za maua.Tunafanya pia landscaping,gardening,upangaji maua na ushauri juu ya utunzaji wa maua.

Upendo florist organic potting soil na Upendo florist organic fertilizer ndiyo jibu lako kwenye maua na mimea yote. Mfuk...
10/05/2026

Upendo florist organic potting soil na Upendo florist organic fertilizer ndiyo jibu lako kwenye maua na mimea yote. Mfuko ni elfu 10 tu. Tunafanya delivery tupigie tukufikie 0763588009.

Happy mothers day
10/05/2026

Happy mothers day

Upendo Florist tupo hapa kukusaidia kuanza safari yako ya bustani yenye mafanikio mengi.Tunakuwezesha kuwa na mimea yeny...
24/04/2026

Upendo Florist tupo hapa kukusaidia kuanza safari yako ya bustani yenye mafanikio mengi.
Tunakuwezesha kuwa na mimea yenye afya, bustani nzuri na mazingira safi.
Kwa mahitaji ya....Maua mazuri yaliyooteshwa kwenye potsUdongo organic 100% na mzuriMbolea organic 100% yenye virutubisho vyoteUshauri wa kitaalamu wa maua na garden na yote yanayohusu maua na garden.
Karibu tukuhudumie 0763588009

Bromelia zinapatikana bei ni kuanzia elfu 35. Bromelia unique 0763588009
21/04/2026

Bromelia zinapatikana bei ni kuanzia elfu 35. Bromelia unique 0763588009

OFFA bado inaendelea 0763588009
21/04/2026

OFFA bado inaendelea 0763588009

Tuyapende mazingira yetu 0763588009
19/04/2026

Tuyapende mazingira yetu 0763588009

Watu wengi wanapanda maua… lakini hawapati matokeo mazuri.Unajua kwanini? Udongo hauna virutubisho vya kutosha.Sasa sulu...
18/04/2026

Watu wengi wanapanda maua… lakini hawapati matokeo mazuri.
Unajua kwanini?

Udongo hauna virutubisho vya kutosha.

Sasa suluhisho ni hili 👇

🌿 Upendo Florist Organic Fertilizer
✔️ 100% Organic
✔️ Ina virutubisho vyote muhimu
✔️ Inafanya mimea kuwa na afya, kijani kibichi na yenye nguvu

Wasiliana nasi 0763588009

OFa YA KIPEKEE.Nunua Upendo Florist Organic Potting Soil  kuanzia mifuko 5  leo na upate PUNGUZO la 5%. Usikose nafasi h...
18/04/2026

OFa YA KIPEKEE.
Nunua Upendo Florist Organic Potting Soil kuanzia mifuko 5 leo na upate PUNGUZO la 5%. Usikose nafasi hii ya kuboresha bustani yako kwa gharama nafuu.Wasiliana nasi sasa kupata udongo bora kwa mimea yako.
Upendo Florist – Tunakuza uzuri wa asili.

16/04/2026

🤩🤩🤩🤩

0763588009
16/04/2026

0763588009

MAUA NI RAHA… NA ZAIDI YANAPOKUA NA AFYA.Maua huleta furaha, uzuri na utulivu wa moyo na akili…Lakini raha yake huwa mar...
15/04/2026

MAUA NI RAHA… NA ZAIDI YANAPOKUA NA AFYA.

Maua huleta furaha, uzuri na utulivu wa moyo na akili…
Lakini raha yake huwa mara dufu pale yanapokua yenye afya, yanachanua vizuri na kuvutia.

Je, ungependa kujua siri ya kuwa na maua yenye afya tele kuanzia mwezi Januari mpaka Desemba?

Usikose nafasi hii ya kipekee karibu ujifunze
mbinu bora za:
✅ Utunzaji sahihi wa maua
✅️Uoteshaji sahihi wa maua
✅️Vyombo sahihi vya kuoteshea maua
✅️Umwagiliaji sahihi wa maua
✅️Uchaguzi sahihi wa maua
✅️Utunzaji wa maua aina mbalimbali
✅️Mbolea sahihi
✅ Kuchagua udongo bora
✅ Kuzuia magonjwa na wadudu
✅ Kukuza maua yenye afya na urembo wa kudumu

DARASA NI ELFU 25 TU.

Wasiliana nasi sasa ujifunze zaidi 0763588009. Karibu uanze safari ya kuwa na bustani yenye afya sasa.

Address

Changanyikeni Kamba Road
Dar Es Salaam

Telephone

0763588009

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Upendo Florist posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share