20/04/2021
Ningependa leo Ndugu zangu tuzungumzie MENU.
MENU
- Menu ni kitabu kidogo ambacho kimeorodheshwa Aina za vyakula pamoja na Bei zake.
- Ndani ya menu imegawanyika ktk sehem (3) ambazo ni
1: Starter
2: Main course
3: Dessert
1: STARTER
- Hichi ni chakula Cha kwanza mgeni au mteja hupatiwa kabla hajala mlo kamili mfano Supu, canape's au salad n.k
- Mara nyingi sifa ya starter huwa ni chakula kidogo mno ambacho mgeni au mteja hawezi kushiba ni Kam kifungua kinywa au kuchangamsha utumbo kwa maandalizi ya mlo kamili.
2: MAIN COURSE
- Hichi ni chakula ambacho kimekamilika yaan mlo kamili ambacho kina protein, starch n.k.
3: DESSERT
- Hichi ni chakula Cha mwisho kwa mgeni au mteja kula, mara nyingi vyakula hivi huwa vitamu vitamu(Sweet) mfano ni cake, ice cream n.k
- Menu imegawanyika ktk sehemu kuu tatu(3) ambazo ni
1: Ala acate menu
2: Buffee Menu
3: Set Menu
1: ALA ACARTE MENU
- Hii ni Aina ya menu ambayo mteja au mgeni ujichagulia yeye mwenyew kutoka ktk kitabu Cha menu.
- Mara nyingi menu hii huwa na vyakula mbali mbali na Bei tofauti tofauti.
- Ktk Menu hii pia mteja huwa Mua kuanzia starter mpk dessert au main course mpka dessert au main course pekee kulingana na mfuko wake.
2: BUFFEE MENU
- Hii ni Aina ya menu ambayo huwa vipangwa vyakula mbalimbali kuanzia starter mpka dessert.
- Menu hii huwa na Bei moja tu na mteja au mgeni hula anachotaka na hula mpka atakapotosheka .
3: SET MENU
- Hii ni Aina ya menu ambayo huwa ni maalum ambapo mgeni au mteja ufanyiwa set tup, na ndani ya menu hii bei sawa oka vyakula huwa tofaut tofaut na mar nyingi vyakula haviwi vingi sana ni vichache na menu yao huwa maalumu.
UTUNGAJI WA MENU
- ukiwa unaandaa menu yako hakikisha wageni au wateja wako ni wa jamii gani?
- Ila Ktk menu huwa tunaangalia sana watu aina mbili ambao ni
1: Vegetarian
2: Non Vegetarian
- Ktk jamii zinazotuzunguka kun makundi ya watu mbalimbali na huwa Wana shida na vyakula pia ningepend tuangalie kundi la kwanza
VEGETARIAN
- Hili ni kundi ambalo la watu ambao huwa huchagua ktk kula kutokana na sababu za kimaini au aleji n.k
- Mara nyingi watu hula vyakul vinavyodhalishwa na mnyama mfano kuku hudhalish mayai, ng'ombe hudhalish maziwa, hivyo vyakula ni km maziwa, mayai, mayai ya samaki, tambi, mboga mboga(vegetables)
- Pia ktk kundi hili hili kun jamii ambayo hawali kabisa vyakul vilivyodhalishwa na mnyama pia
- Mara nyingi jamii hupendelea kula mboga mboga(vegetables), Tambi, Viazi, Rice n.k
NON VEGETARIAN
- Hili ni kundi ambalo hupendelea kula vyakula vya aina zote ambavyo mnyama hudhalisha na pia hula na nyama yenyewe.
Mfano: Nyam, samaki, Kuku n.k
NOTE
- Pia wapo jamii ambayo hupendelea kula red meat au white meat pia.
AHSANTENI NA MUNGU AWABARIKI SANA