The Worshippers Tanzania

The Worshippers Tanzania Are worshippers with desire to offer their heart to worship the True God in Spirit and Truth, Unifyin

Dont miss. Its for free its for all
12/11/2017

Dont miss. Its for free its for all

Do not miss this date 1.12.2017 where all worshippers will meet at Upanga ccc
07/11/2017

Do not miss this date 1.12.2017 where all worshippers will meet at Upanga ccc

Shalom mtu wa Mungu.THE WORSHIPPERS TANZANIA inapenda kuchukua nafasi hii kipekee kabisa kukukaribisha katika ibada kubw...
23/10/2017

Shalom mtu wa Mungu.
THE WORSHIPPERS TANZANIA inapenda kuchukua nafasi hii kipekee kabisa kukukaribisha katika ibada kubwa ya makanisa yote kwa ajili ya kusifu na kaubudu ijulikanayo kwa jina la THE WORSHIPERS NIGHT, itakayofanyika mwaka huu kwa mara ya kwanza hapa Tanzania ambayo itaunganisha watu wote toka makanisa yote pasipo kujali itikadi, dini, dhehebu wala kanisa analotokea.
Wanaokuletea ibada hii ni THE WORSHIPERS TANZANIA team, (pichani) ambayo kwa sasa iko kwenye maandalizi kujiweka tayari kulishusha wingu la utukufu.
Usipange kukosa, utakutana na Mungu live katika ibada hii kubwa ni pale katika la CCC UPANGA
Kwa maelezo zaidi stay tuned.. Mungu awabariki sana....plz share.

THE WORSHIPPERS TANZANIA inafuraha sana kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa madam Judge wa THE WORSHIPPERS NIGHT 2017  Ma...
01/10/2017

THE WORSHIPPERS TANZANIA inafuraha sana kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa madam Judge wa THE WORSHIPPERS NIGHT 2017 Marego Tunakutakia baraka tele unapoifurahia siku yako ya kuzaliwa

   ... BAADA YA KUFANIKIWA KWA ZOEZI LA THE WORSHIPPERS NIGHT MASS CHOIR AUDITION. SASA MAZOEZI RASMI KUANZA IJUMAA IJAY...
01/10/2017

... BAADA YA KUFANIKIWA KWA ZOEZI LA THE WORSHIPPERS NIGHT MASS CHOIR AUDITION. SASA MAZOEZI RASMI KUANZA IJUMAA IJAYO TAR6.10.2017 katika Kanisa la Ukombozi Dar Es Salaam. JINSI YA KUFIKA: PANDA GARI ZA TEGETA THEN BAADA YA KUVUKA MBUYUNI SHUKA KITUO KINAITWA SKANSKA UTAONA KITUO CHA MAFUTA CHA OILCOM. ULIZA BODABODA WAKULETE KANISA LA UKOMBOZI. MAWASILIANO 0657266777

TAZAMA SEHEMU YA THE WORSHIPPERS NIGHT MASS CHOIR AUDITION
22/09/2017

TAZAMA SEHEMU YA THE WORSHIPPERS NIGHT MASS CHOIR AUDITION

The Worshippers Night Mass Choir Audition SEASON ONE Judges..From Left. SARAH SHILLAH NDOSI, PASTOR Bomby Johnson and TI...
17/09/2017

The Worshippers Night Mass Choir Audition SEASON ONE Judges..From Left. SARAH SHILLAH NDOSI, PASTOR Bomby Johnson and TINA MAREGO.. IT WAS AMAZING

THE WORSHIPPERS TANZANIA ambayo ni umoja wa makanisa yote wanaopenda kumwabudu Mungu wameandaa mkesha mkubwa kwa ajili y...
12/09/2017

THE WORSHIPPERS TANZANIA ambayo ni umoja wa makanisa yote wanaopenda kumwabudu Mungu wameandaa mkesha mkubwa kwa ajili ya kumwabudu Mungu katika jiji la Dar es salaam kwa wana Dare salaam wote wapendao kuabudu itakayofanyika 1.12.2017 siku ya ijumaa kuanzia saa 3 usiku Upanga CCC. sasa tunaandaa team ya waimbaji.
1. Je wewe ni muimbaji ama una kipaji cha kuimba ama wapiga vyombo kanisani?
2. Uko tayari kumwabudu Mungu?
Ikiwa umejibu ndiyo basi wewe ni kati ya wale 200 tuwahitajio. Jisajili kwa kupiga simu sasa. Usaili ni tarehe 16.9.2017 jumamossi saa 2 hadi saa 8 mchana. JISAJIRI SASA

06/09/2017

The Worshippers Tanzania kwa kushirikiana na makanisa yooooote nchini, inaandaa mkesha mkubwa wa kumwabudu Mungu ujulikanao k**a THE WORSHIPPERS NIGHT. Mkesha huu mkubwa utafanyika jijini Dar Es salaam ambapo wote wapendao kumwabudu Mungu tutamwabudu Mungu katika ardhi ya Tanzania.

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Worshippers Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to The Worshippers Tanzania:

Share