Toto Magazine

Toto Magazine plant you own garden and decorate your own soul

18/03/2019
28/02/2019
Mtoto anahitaji mambo mengi katika makuzi yake baadhi kati ya hayo ni :-Ulinzi,alindwe ajisikie huru na salama huku akip...
12/02/2019

Mtoto anahitaji mambo mengi katika makuzi yake baadhi kati ya hayo ni :
-Ulinzi,alindwe ajisikie huru na salama huku akipatiwa chakula matibabu kwa usahihi.(security)
-Upendo,apendwe kweli na auone upendo.(love)
-Elimu,mtoto anahitaji elimu ya dunia na elimu ya darasani na aipate kwa ushihi.(education)
-Mtoto anahitaji awe na mtu anaemwangalia k**a kioo ambae anatamani awe k**a yeye,hapa anatakikana mtu sahihi.(positive role models)
-Kusikilizwa,mtoto asikilizwe anachosema kwanza ili ujue mawazo yake,pia inasaidia kumfanya ajiamini.(to be listened)
-Miiko,muongozo na mipaka.mtoto awe na mipaka, k**a mtoto lazima awekewe mipaka yake, mzazi abaki kuwa mzazi na mtoto awe mtoto mwenye heshima na hofu ya MUNGU.(Structure)

Teach your kid to be HONEST,telling the TRUTH.
19/02/2018

Teach your kid to be HONEST,telling the TRUTH.

Princess Amito Lucky makes two years today,greetings from mum, dad ,uncle Erisa Emmy and others.GOD'S blessings upon you...
22/01/2018

Princess Amito Lucky makes two years today,greetings from mum, dad ,uncle Erisa Emmy and others.GOD'S blessings upon you
Toto Magazine is celebrating with Princess Amito Lucky.
Lets celebrating together by wishing her god luck..

Tunaposema  wazazi na waalimu washirikiane kwenye elimu ya mtoto,tunamaanisha.1)Wazazi wawe na mawasiliano na walimu mar...
15/01/2018

Tunaposema wazazi na waalimu washirikiane kwenye elimu ya mtoto,tunamaanisha.
1)Wazazi wawe na mawasiliano na walimu mara kwa mara ili
Kujua maendeleo ya watoto wao.
2)Wazazi wafatilie madaftari ya watoto na kuhakikisha watoto
Wamefanya home work kwa wakati.
3) Wazazi wawaeleze watoto wao nini maana ya Elimu na faida zake.
4) Wazazi wawapongeze watoto wanapofanya vizuri ili waendelee
Kufanya vizuri na wawape moyo na kujua kwa nini walifanya vibaya.

Let's teach our  children to,STAND UP FOR THEMSELVES.
02/12/2017

Let's teach our children to,STAND UP FOR THEMSELVES.

TOTO MAGAZINE  jarida  la watoto linapatikana,MAK books and brains (Mlimani city)Lakaza maduka ya nguo za watoto na waku...
26/11/2017

TOTO MAGAZINE jarida la watoto linapatikana,
MAK books and brains (Mlimani city)
Lakaza maduka ya nguo za watoto na wakubwa Sinza,
Kase store ARUSHA,
Isaje Supermarket,
TSN supermarkets,
Toto Junction,
Hadeeb Toto shop,
Kids Klassy sinza,
Tedy tends store kinondoni,
Fun city,
Nakos Supermarket (kigamboni),
Krista book shop (Mwenge),
Dar es slaam bookshop (Posta),
Imalaseko supermakert (Posta).

Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0745 700 777,

TOTO MAGAZINE  jarida  la watoto linapatikana,MAK books and brains (Mlimani city),Lakaza maduka ya nguo za watoto na wak...
26/11/2017

TOTO MAGAZINE jarida la watoto linapatikana,
MAK books and brains (Mlimani city),
Lakaza maduka ya nguo za watoto na wakubwa (Sinza),
Kase store (ARUSHA),
Isaje Supermarket(Tegeta),
TSN supermarkets(Tegeta,Upanga,Bamaga),
Toto Junction(Posta),
Hadeeb Toto shop,
Kids Klassy (Sinza),
Tedy tend's store (kinondoni),
Fun city (Kigamboni)
Nakos Supermarket (kigamboni),
Krista book shop (Mwenge),
Dar es slaam bookshop (Posta),
Imalaseko supermakert (Posta).

Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0745 700 777,

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255785457172

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Toto Magazine posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Toto Magazine:

Share

Category