20/05/2023
Sometime kusema unaishi Dar unaona aibu,hii ni wilaya ya UBUNGO-MBEZI MSUMI...na Mbunge ni hapa ni kilometa Saba tu Toka Goba mjini,na kilometa Tisa tu Toka stand ya Mbezi,sasa sijui shida nini,kama maji tu kuleta ni issue barabara je?anyway tumuachie Mungu tu.