RAIS WA Simiyu

RAIS WA Simiyu sport striker

Usifanane nao fanana na yule tu√
01/03/2017

Usifanane nao fanana na yule tu√

Pumzika kwa amani mzee wetu ULIKATAA POLISI KUWA NA KITAMBI  leo hii lait k**a miujiza gani ukawatokea maaskar hawa hawa...
22/11/2016

Pumzika kwa amani mzee wetu ULIKATAA POLISI KUWA NA KITAMBI leo hii lait k**a miujiza gani ukawatokea maaskar hawa hawana nidham na raia demokrasia wameiua UJAMBAZI NA UJANGILI NIKAMA VIMERUHUSIWA ulituacha tukiwa Tanzania kweli leo hii tunaelekea kuwa TANZAGIZA

Kamwe mafanikio ya MTU huwez kuyazuia ila utayachelewesha tu ktk timu ya man city huyu jamaa ndo changizo la 60% ya mafa...
20/11/2016

Kamwe mafanikio ya MTU huwez kuyazuia ila utayachelewesha tu ktk timu ya man city huyu jamaa ndo changizo la 60% ya mafanikio hata Jana alipofunga kuna mabango mengi yalitolewa yakimtuhum pep gadiola

Dakika ya 64 man U 1-0 Arsenal mfungaji Matta
19/11/2016

Dakika ya 64 man U 1-0 Arsenal mfungaji Matta

Tutafika tu
18/11/2016

Tutafika tu

Serikali yaviwanda itafanikiwa maana UKATA HUU shikamoo CCM
16/11/2016

Serikali yaviwanda itafanikiwa maana UKATA HUU shikamoo CCM

Samaki mkunje angali mbichi
12/11/2016

Samaki mkunje angali mbichi

Ni dhambi kumlazimisha mwenzio achimbe dawa bila kukusudia
11/11/2016

Ni dhambi kumlazimisha mwenzio achimbe dawa bila kukusudia

08/11/2016

Some time unavurugwa kidogo

Shujaa wa ukweli hakati tamaa
08/11/2016

Shujaa wa ukweli hakati tamaa

Address

Buguruni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RAIS WA Simiyu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category