RyL Jonathans room.

RyL Jonathans room. all about self employment we learn...we practise.

  MWANAMKE YUPO KWENYE HATARI YA KUPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)!!!Fuatilia kwa makini kujua chanzo, madhara na m...
02/01/2020

MWANAMKE YUPO KWENYE HATARI YA KUPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)!!!

Fuatilia kwa makini kujua chanzo, madhara na matibabu yake.......

FIBROID NI NINI?

Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio.

Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids:

1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)

2.Intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)

3.Subserosal(nje ya kizazi)

Watu wafuatao wako hatarini kupata ugonjwa huu fibroids

1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa.

2.Miaka kuanzia kubalehe mpaka hedhi kukoma.

3.Kurithi.

4.Unene.

5.Kuingia hedhi mapema.

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubalehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini.

Na mara nyingi uvimbe huu huwa unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.

Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.



1. Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.

2. Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya au ambao hauna harufu lkn mwingi na mweupe.

3. Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.

4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.

5. Hedhi zisizokuwa na mpango

6. Maumivu wakati wa tendo la ndoa

7. Kukosa hamu ya tendo la ndoa

8. Maumivu makali wakati wa hedhi

Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo.

1. Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo

2. Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo

3.Haja kuwa ngumu

4. Miguu kuvimba

5. Kupungukiwa damu

Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:

1. Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kw

mafanikio ni tabia ya mtu
02/01/2020

mafanikio ni tabia ya mtu

Ooh wapendwa nawakaribisha katika page yangu..hapa ni sehem pekee ambapo tutajadili na kuamua mambo yetu hasa jinsi ya k...
14/10/2017

Ooh wapendwa nawakaribisha katika page yangu..hapa ni sehem pekee ambapo tutajadili na kuamua mambo yetu hasa jinsi ya kufanikiwa ki maisha.
KARIBUNI SANA

OOH GUYS..so happy to welcome you in my new page...gotta be the only and good place for us to discuss all about self emproyment.
WELCOM

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RyL Jonathans room. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category