Gwambina Lounge Limited

  • Home
  • Gwambina Lounge Limited

Gwambina Lounge Limited We do Catering, Facilities Management, We provide Recreational centers and manage Events

Jumuika na familia kwa Ku order sinia utakayo wewe kwa bei nafuu hapa  😁😁Sinia 50,000/=
23/07/2024

Jumuika na familia kwa Ku order sinia utakayo wewe kwa bei nafuu hapa 😁😁

Sinia 50,000/=

Hapa GWAMBINA LOUNGE ndo unaweza ukapata chakula cha aina hii na cha bei nafuu kwako wewe k**a mteja wetu.Tsh 150,000/= ...
22/07/2024

Hapa GWAMBINA LOUNGE ndo unaweza ukapata chakula cha aina hii na cha bei nafuu kwako wewe k**a mteja wetu.

Tsh 150,000/= kisinia kimoja

Karibuni Sana🎷🎺🥁🎻🪘⚽Leo live pale na twanga pepeta band🥁🎺🎷🪘
21/07/2024

Karibuni Sana🎷🎺🥁🎻🪘⚽
Leo live pale na twanga pepeta band🥁🎺🎷🪘

Karibuni nyote hapa Gwambina Lounge Limited.🤗🤗
17/07/2024

Karibuni nyote hapa Gwambina Lounge Limited.🤗🤗

Unaweza kutufuatilia sasa mpaka pale tiktok .Tupe likes,comment, follow na pia bila kusahau kushare kwa marafiki, ndugu,...
17/07/2024

Unaweza kutufuatilia sasa mpaka pale tiktok .
Tupe likes,comment, follow na pia bila kusahau kushare kwa marafiki, ndugu, jamaa, na hata familia zetu .


Yes yes ooooh yes 🙌 ni tena na tena kiwanja ni kimoja tuu😄😄😄 Gwambina lounge tcc club changombe⚽⚽ni bonanza la michezo y...
27/06/2024

Yes yes ooooh yes 🙌 ni tena na tena kiwanja ni kimoja tuu😄😄😄 Gwambina lounge tcc club changombe⚽⚽ni bonanza la michezo yote kwanzia asubuhi saa 2 na saa 10 jioni Twanga pepeta wanakua stejini kukupa burudani adi uchoke🎤🙆‍♂️🙆‍♂️🎤🎼🎤🎼🎤🎼🎤🎼🎤💃💃💃💃💃💃💃💃💃Sundays of bonanza at Gwambina lounge

K**a kawaida ya Gwambina ni kuwaletea wadau wao burudani za kujenga afya,, hasubui ni mpira wa miguu ⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽🥰🥰na michezo...
23/06/2024

K**a kawaida ya Gwambina ni kuwaletea wadau wao burudani za kujenga afya,, hasubui ni mpira wa miguu ⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽🥰🥰na michezo mingi mingineyo na ikifika saa 10 jioni unapata burudani kutoka kwa Twanga na kupepeta,kisima cha burudani 🎤🎤🎤🎤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥burudani..

MECHI ZOTE ZA UEFA EURO ZITARUKA LIVE NDANI YA   KWENYE BIG SCREENS KARIBUNI SANA🔥
18/06/2024

MECHI ZOTE ZA UEFA EURO ZITARUKA LIVE NDANI YA KWENYE BIG SCREENS KARIBUNI SANA🔥

K**a ulipitwa jpili ile basi usipitwe na Jumapili hii na nyingine zote⚽⚽⚽⚽🎤🎤🎤💃💃💃💃jumapili ya kumeet na marafiki mapemaaa...
06/06/2024

K**a ulipitwa jpili ile basi usipitwe na Jumapili hii na nyingine zote⚽⚽⚽⚽🎤🎤🎤💃💃💃💃jumapili ya kumeet na marafiki mapemaaaaa

K**a kawaida bonanza la kila jpili la mpira wa miguu saa 2 asubui adi 10 za jioni tunapo amsha na burudani ya kutoka kwa...
30/05/2024

K**a kawaida bonanza la kila jpili la mpira wa miguu saa 2 asubui adi 10 za jioni tunapo amsha na burudani ya kutoka kwa Twanga pepeta 🎤🎤🎤🎤🎤⚽⚽⚽⚽⚽Bonanzaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

CRDB CONFEDERATION CUP FINAL LIVE KWENYE BIG SCREENS ZA  KARIBUNI SANAA🔥🔥🍻
30/05/2024

CRDB CONFEDERATION CUP FINAL LIVE KWENYE BIG SCREENS ZA KARIBUNI SANAA🔥🔥🍻

Weeeeew,, k**a ulikosa bonanza week ile basi jumapili hii na kila jumapili usikose mdau💃💃🚁🚁🚁🎤🎤🎤mpira wa miguu na michezo...
16/05/2024

Weeeeew,, k**a ulikosa bonanza week ile basi jumapili hii na kila jumapili usikose mdau💃💃🚁🚁🚁🎤🎤🎤mpira wa miguu na michezo mingi mingineyo.. *KARIBUNI GWAMBINA *LOUNGE NA WA DAU WOTE WA WAZEE WA KUTWANGA NA KUPEPETA🥰🥰🥰

Karibu kwenye Bonanza kila siku ya jumapili njoo upate burudani ya michezo mbalimbali......Pamoja na burudani kutoka kwa...
10/05/2024

Karibu kwenye Bonanza kila siku ya jumapili njoo upate burudani ya michezo mbalimbali......

Pamoja na burudani kutoka kwa
TWANGA PEPETA Sugu kisima cha burudani...🎷🎺🪇🪘🎤

Vyakula na vinywaji 🥞🥂🍻🍝🧇🍺

Gwambina Lounge LTD
Chang’ombe

Hakuna kusubiri tena......maana muda sio rafiki....

Mzizima Derby hii hapa leo ndio leoKaribu kutazama Big mechi kwenye screen kubwa za Gwambina Lounge.....AZAM FC. VS SIMB...
09/05/2024

Mzizima Derby hii hapa leo ndio leo
Karibu kutazama Big mechi kwenye screen kubwa za Gwambina Lounge.....

AZAM FC. VS SIMBA SC.
SAA 12:15 JIONI

Karibu kutazama mtanange mkali huku ukipata chakula na vinywaji 🍺🧇🍝🍻🥂

Big Match live on Hd Screens  Chang’ombe PSG VS. DOTMUNDSAA 4:00 USIKU 07 MAYR.MADRID VS. BAYERNSAA 4:00 USIKU08 MAYNBC ...
07/05/2024

Big Match live on Hd Screens
Chang’ombe

PSG VS. DOTMUND
SAA 4:00 USIKU
07 MAY

R.MADRID VS. BAYERN
SAA 4:00 USIKU
08 MAY

NBC PREMIER LEAGUE
MASHUJAA VS. KMC
SAA 9:00 JIONI
08 MAY

YANGA VS. KAGERA
SAA 12:00 JIONI
08 MAY

NJOO UTAZAME BURUDANI YA SOKA....

Hakuna kusubiri tena....maana muda sio rafiki...⏰

GWAMBINA SPORTS BONANZATunatoa shukrani zote kwa ushiri wa Bonanza hili, tunawashukuru waamuzi waliochezesha, mashabiki ...
05/05/2024

GWAMBINA SPORTS BONANZA

Tunatoa shukrani zote kwa ushiri wa Bonanza hili, tunawashukuru waamuzi waliochezesha, mashabiki na wadau wote waliojiyokeza kuja Gwambina Lounge kushuhudia mechi, bila shaka hamjutii muda wenu kutokana na burudani mliyoipata.

We cater, you enjoy the test 😉
03/05/2024

We cater, you enjoy the test 😉

Gwambina Lounge Sports ⚽⚾🏉🥅🏀🎾🪀 BonanzaInakualika kwenye bonanza la aina yake lenye kujumuisha michezo mbalimbali k**a vi...
02/05/2024

Gwambina Lounge Sports ⚽⚾🏉🥅🏀🎾🪀 Bonanza

Inakualika kwenye bonanza la aina yake lenye kujumuisha michezo mbalimbali k**a vile Mpira wa miguu kwa wachezaji wazamani wakiambatana na wachezaji wa zamani wale mashuhuli, mpira wa kikapu na mchezo wa pooltable n.k.

Burudani hizi zote utazipata siku ya jumapili hii na jumapili zote....usisahau njoo wewe na marafiki pamoja na familia yako

Maana wikiendi hii na nyingine zote ni balaa!!! 🔥🔥🔥🔥 eneo ni moja tuu Gwambina Lounge LTD - Chang’ombe

⏰ Saa 2:00 Bonanza litaanzaa
Na baadae utapata burudani kali kutoka kwa bendi pendwa sugu kisima cha burudani 🎷🎺🪇🪘🎤

Vinywaji na vyakula vitakuwa vya kutosha, michemsho, visinia na mabiriani k**a yote ifanye wikiendi yako kuwa ya kibabe 🧇🍝🍻🥂🥞

Hakuna kusubiri tena....maana muda sio rafiki.......

MEIMOSI UPDATES🔥🔥…Na Bank of Tanzania (B.O.T) at Gwambina Lounge Limited 👏
01/05/2024

MEIMOSI UPDATES🔥🔥…Na Bank of Tanzania (B.O.T) at Gwambina Lounge Limited 👏

Sunday special ✨️ with twanga pepeta
26/04/2024

Sunday special ✨️ with twanga pepeta

Gwambina lounge inawatakia wateja wetu wote skukuu njema na tunawaribisha sana kwenye  huduma zetu za siku zote 💓🍗🍜🍜🍝🙏
26/04/2024

Gwambina lounge inawatakia wateja wetu wote skukuu njema na tunawaribisha sana kwenye huduma zetu za siku zote 💓🍗🍜🍜🍝🙏

Uongozi wa Gwambina Lounge Ltd Unatoa pole kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki kwa msiba mzito wa mtangazaji nguli wa Clouds Fm...
21/04/2024

Uongozi wa Gwambina Lounge Ltd Unatoa pole kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki kwa msiba mzito wa mtangazaji nguli wa Clouds Fm ndugu Gardner G. Abash. Uongozi wa Gwambina Lounge Ltd unatambua na kuthamini mchango mkubwa wa Gardner katika uanzishwaji na ushauri wa Gwambina Lounge toka mwanzo mpaka sasa ilipofikia..
Pumzika kwa amani ndugu yetu Gardner

Haloooo!!! Dar es salaam  eeeh bwana eeehh!! Ile Derby tuliokuwa tunaisubiri kwa hamu sasa imewadia...Siku ya tarehe 20 ...
16/04/2024

Haloooo!!! Dar es salaam eeeh bwana eeehh!! Ile Derby tuliokuwa tunaisubiri kwa hamu sasa imewadia...

Siku ya tarehe 20 mtanange wa kukata na shoka ndani ya viwanja vya Gwambina Lounge LTD utaushuhudia mtanange huu kwenye big screens zenye quality ya HD

🔰YANGA VS. 🦁SIMBA
⏰SAA 11:00 JIONI

Mtani kiwanja ni kimoja tuu cha kutazama burudani bila bugdha yoyote na kuenjoy soka huku ukipata burudani ya muziki kutoka kwa Dj Kidy Master..🔉🎶🎼

Chang’ombe

Hakuna kusubiri tena........Acha muda uongee.......⏰

Wacha burudani ziendelee weekend  hii kwenye dance la kitanzania tutakuwa na.....🎺🎷🥁🪘TWANGA PEPETA  SUGU KISIMA CHA BURU...
14/04/2024

Wacha burudani ziendelee weekend hii kwenye dance la kitanzania tutakuwa na.....🎺🎷🥁🪘

TWANGA PEPETA
SUGU KISIMA CHA BURUDANI

wakiangusha burudani ya kibabe kwenye weekend hii special pamoja na weekend zote kwa maana ya kila jumapili burudani zitakuwa hapa...

Unakosaje?? Njoo wewe na mwenzako na marafiki zenu
Kwasababu burudani ipo sehemu moja tu!!!

Chang’ombe

Hakuna kusubiri tena.....Acha muda uongee⏰

Baadae  ya kumaliza mwezi 🌙🌙🌙 tunakutan kwenye VIBE LA EIDSi kwengine bali ni hapa hapa..... Chang’ombe Burudani kali ya...
10/04/2024

Baadae ya kumaliza mwezi 🌙🌙🌙 tunakutan kwenye VIBE LA EID
Si kwengine bali ni hapa hapa.....

Chang’ombe

Burudani kali ya mziki mnene🎶🔊🔉🔊 itaangushwa na Dj KIDY MASTER kutoka hapa hapa GWAMBINA LOUNGE LTD

kuanzia Eid mosi na Eid pili
Misosi na vinywaji k**a kawaida yetu 🥞🍝🍻🍻🍺🥂 masosolinso ya kibabe yatakuwepo njoo na mwenza wako kufurahia sikukuu hii yenye vibe....

Hakuna tena kusubiri....Acha muda uongee⏰

Halloo weee!!! Hallo tena...!!!GWAMBINA LOUNGE LTD inakuletea ile show ya kibabe ya kiswazi yaaniii.....🪘🪇🎼USWAZI SATURD...
10/04/2024

Halloo weee!!! Hallo tena...!!!
GWAMBINA LOUNGE LTD inakuletea ile show ya kibabe ya kiswazi yaaniii.....🪘🪇🎼

USWAZI SATURDAY NIGHT’S
na mfalme wa kibao kata akiwa na timu yake yote kutoka uswazini...

Hii si yakukosa ni siku ya jumamosi tarehe 13 April

Burudani kubwa ya kiswazi utaipata hapa Chang’ombe

Njoo wewe na mwenzio huku 💥🔥⚡🔥💥 huku kishawaka

Vyakula, vinywaji ni k**a vyote🧇🥞🍝🍻🍺🥂 hakuna kusubiri tena.... Acha muda uongee⏰

Weekend hii k**a kawaida Vibe linaendelea la muziki wa dance ndani ya TWANGA PEPE SUGU KISIMA CHA BURUDANI  watakupa bur...
06/04/2024

Weekend hii k**a kawaida Vibe linaendelea la muziki wa dance ndani ya

TWANGA PEPE SUGU KISIMA CHA BURUDANI watakupa burudani ya kukata na shoka 🎸🎼🎤🥁🪘🎺🎷

Kila jumapili na jumapili zote utapata burudani na Twanga Pepeta..

Matumaini yetu bado yapo wanasimba siku ya Ijumaa njoo tuangalie chama la wana Simba Sc. 🦁Kwenye screen kubwa zenye uweo...
04/04/2024

Matumaini yetu bado yapo wanasimba siku ya Ijumaa njoo tuangalie chama la wana Simba Sc. 🦁

Kwenye screen kubwa zenye uweo wa kuonyesha quality ya HD

ALHLY VS. SIMBA🦁
⏰SAA 5:00 USIKU

Tunasema haiishi mpaka Iishe waarabu wataelewa tuu...

Burudani hii unaipata hapa Chang’ombe

Hello!!! Tanzania tunasema haiishi mpaka iishe ile mechi ya marudiano yanga ni Ijumaa hii...MAMELODI VS. YANGA SC🔰⏰saa 3...
04/04/2024

Hello!!! Tanzania tunasema haiishi mpaka iishe ile mechi ya marudiano yanga ni Ijumaa hii...

MAMELODI VS. YANGA SC🔰
⏰saa 3:00 usiku

Njoo upate burudani ya soka kwenye screen kubwa zenye quality ya HD

ndani ya Chang’ombe

SPORTS GROUNDS  🔥🔥🔥
04/04/2024

SPORTS GROUNDS 🔥🔥🔥

Karibu  ambapo tunatoa huduma za vyakula na vinywaji 🍽️🍻 (catering services) na kuratibu matukio ya vikundi, taasisi au ...
04/04/2024

Karibu ambapo tunatoa huduma za vyakula na vinywaji 🍽️🍻 (catering services) na kuratibu matukio ya vikundi, taasisi au kampuni (Events management) 🥳 tukikuhakikishia parking kubwa ambayo inaambatana na usalama wa uhakika wa wewe na mali zako. Usisahau kwamba tukiratibu tukio lako venue hutalipia! Gharama yako ni kwenye vinywaji na chakula pekee, huku tukiwa na TV za kutosha na mziki laini 🎼🎵 ukiwa unawasindikiza! Karibu sana tukuhudumie 🐾🎈🍽️🎊

GWAMBINA LOUNGE LIMITED 📸🔥
03/04/2024

GWAMBINA LOUNGE LIMITED 📸🔥

KARIBUNI SANA GWAMBINA LOUNGE LTD….MUONEKANO SAFI KABISA WA V.I.P LOUNGE YETU🔥🔥🔥KARIBU UIENJOY HUDUMA ZA KI V.I.P NDANI ...
03/04/2024

KARIBUNI SANA GWAMBINA LOUNGE LTD….MUONEKANO SAFI KABISA WA V.I.P LOUNGE YETU🔥🔥🔥

KARIBU UIENJOY HUDUMA ZA KI V.I.P NDANI YA GWAMBINA LOUNGE

NAFASI ZA KAZI.Gwambina catering ina toa Fursa ya nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania zaidi ya 40 wenye sifa zilizo...
02/04/2024

NAFASI ZA KAZI.

Gwambina catering ina toa Fursa ya nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania zaidi ya 40 wenye sifa zilizo ainishwa katika tangazo hapo juu
Mjulishe kijana mwenye sifa hizi ili aweze kutuma Maombi yake

Ule mtanange uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu sasa mwali yupo uwanjani ⚽⚽⚽ nani zaidi?🔰YANGA SC. VS. MAMELODIkuanzia saa 3:...
28/03/2024

Ule mtanange uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu sasa mwali yupo uwanjani ⚽⚽⚽ nani zaidi?

🔰YANGA SC. VS. MAMELODI
kuanzia saa 3:00 usiku
30 march - jumamosi

Burudani hii itakuwa kwenye screen zetu kubwa zenye uwezo wa kuonyesha HD...

Karibu sana
Chang’ombe

Burudani kwetu ni kawaida weekend hii na kila mwisho wa weekend  tunakuwa na burudani kutoka kwa Twanga pepetaNi hapa ha...
23/03/2024

Burudani kwetu ni kawaida weekend hii na kila mwisho wa weekend tunakuwa na burudani kutoka kwa Twanga pepeta

Ni hapa hapa Chang’ombe

Njoo na rafiki yako uje kucheza dance la uhakika.....

Weekend hii na kila weekend ndani ya GWAMBINA LOUNGE LTD utapata burudani kutoka kwa  kila jumapili kuanzia jumapili hii...
12/03/2024

Weekend hii na kila weekend ndani ya GWAMBINA LOUNGE LTD utapata burudani kutoka kwa

kila jumapili kuanzia jumapili hii na jumapili zote....

Njoo uenjoy burudani nzuri ya muziki wa dance...🎼🎷🪘🥁🎺🎸

Tumekuandalia kifurushi chako cha wiki ewe mpenzi wa burudani ya soka kiwanja chako pendwa GWAMBINA LOUNGE LTD inakulete...
12/03/2024

Tumekuandalia kifurushi chako cha wiki ewe mpenzi wa burudani ya soka kiwanja chako pendwa GWAMBINA LOUNGE LTD inakuletea mfululizo wa mechi mbalimbali.......

TAREHE 12 UEFA CHAMPIONS LEAGUE

ARSENAL VS. FC PORTO
BARCELONA VS. NAPOLI

NBC LEAGUE
SIMBA VS. SINGIDA BS

TAREHE 13 UEFA CHAMPIONS LEAGUE

A.MADRID VS. I.MILAN

TAREHE 15 NBC PREMIER LEAGUE
SIMBA VS. MASHUJAA

TAREHE 17 NBC PREMIER LEAGUE
AZAM VS. YANGA

burudani hii yote utaipata hapa Chang’ombe
Kwenye HD Big screens....

Njoo ushuhudie burudani ya kufa mtu ndani ya Gwambina Lounge LTD

Uongozi wa GWAMBINA LOUNGE LIMITED  unawatakia heri Waislamu 🕋🕋📿📿 wote katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi🌙🌙⭐⭐⭐ Mtuk...
12/03/2024

Uongozi wa GWAMBINA LOUNGE LIMITED unawatakia heri Waislamu 🕋🕋📿📿 wote katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi🌙🌙⭐⭐⭐ Mtukufu wa Ramadhan

RAMADHAN KAREEM 🕌🕌🕌

Wishing our Muslim brothers and sisters a blessed Ramadan from all of us at Gwambina Lounge Limited. Ramadan Mubarak💫🌙
11/03/2024

Wishing our Muslim brothers and sisters a blessed Ramadan from all of us at Gwambina Lounge Limited. Ramadan Mubarak💫🌙

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gwambina Lounge Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gwambina Lounge Limited:

  • Want your business to be the top-listed Event Planning Service?

Share