Helen Shanua

Helen Shanua Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Helen Shanua, Event Planner, Sinza Kumekucha, Dar es Salaam.

Karibuni dukani!
30/07/2025

Karibuni dukani!

Chupi za bana Tumbo zinapatikana kwa bei nzuri
30/07/2025

Chupi za bana Tumbo zinapatikana kwa bei nzuri

"Si kila chupi ni chupi.Wengine huvaa tu kufunika, lakini wanawake wanaojua thamani yao huvaa kwa kujipenda.Chupi laini ...
12/07/2025

"Si kila chupi ni chupi.
Wengine huvaa tu kufunika, lakini wanawake wanaojua thamani yao huvaa kwa kujipenda.
Chupi laini ya cotton kutoka Hellen Underwear sio tu nguo ya ndani – ni zawadi kwa mwili wako.

🌸 Inapumua vizuri
🌸 Haina muwasho wala kubana
🌸 Inakupa uhuru wa kujisikia vizuri, hata k**a hakuna anayeiona

Kwa bei rafiki, unapata starehe ya kweli na mvuto wa kudumu.
Kwa mwanamke wa kisasa – chupi nzuri si anasa, ni lazima!
πŸ“ Zinapatikana sasa Hellen Underwear
πŸ›οΈ Size zote | Rangi mbalimbali | Ubora wa hali ya juu

Hellen Underwear ndio jibu πŸ’–"

Urembo wa kweli huanza na starehe ya ndani. Chupi laini, nafuu, na zenye mvuto – kwa wanawake wanaojua thamani yao."
12/07/2025

Urembo wa kweli huanza na starehe ya ndani. Chupi laini, nafuu, na zenye mvuto – kwa wanawake wanaojua thamani yao."

Karibuni dukani.
10/07/2025

Karibuni dukani.

πŸ‘™πŸ’–  ""Brazia Donela zimewasili! Full support, full comfort. πŸ›οΈ DM kuagiza sasa! πŸ“²    "
10/07/2025

πŸ‘™πŸ’– "
"Brazia Donela zimewasili! Full support, full comfort. πŸ›οΈ DM kuagiza sasa! πŸ“² "

"Nightdress laini, ya kisasa, na ya bei nafuu. Nunua yako leo!πŸ“²
10/07/2025

"Nightdress laini, ya kisasa, na ya bei nafuu. Nunua yako leo!πŸ“²

27/06/2025
πŸ˜πŸ‘™ Brazia na chupi set ya mvuto, starehe na class – kwa wanawake wanaojijua! Zipo rangi tofauti & size zote. DM sasa! πŸ’Œ ...
24/06/2025

πŸ˜πŸ‘™ Brazia na chupi set ya mvuto, starehe na class – kwa wanawake wanaojijua! Zipo rangi tofauti & size zote. DM sasa! πŸ’Œ "

Sio kubadilisha mwili, ni kuuboresha πŸ’• Kigodoro cha kuongeza makalio πŸ‘πŸ”₯ Kigodoro chetu kinainua, na kinachora umbo la mr...
24/06/2025

Sio kubadilisha mwili, ni kuuboresha πŸ’• Kigodoro cha kuongeza makalio πŸ‘πŸ”₯ Kigodoro chetu kinainua, na kinachora umbo la mrembo wa ukweli! Size zote zipo – DM kwa oda sasa! "

🌿 Chupi za Cotton – Faraja Inayoanza Ndani! 🌿Hakuna k**a chupi za pamba safi – laini, hewa nzuri, na salama kwa ngozi ya...
13/06/2025

🌿 Chupi za Cotton – Faraja Inayoanza Ndani! 🌿
Hakuna k**a chupi za pamba safi – laini, hewa nzuri, na salama kwa ngozi yako. 🩲✨

βœ”οΈ 100% cotton – Hakuna muasho wala jasho kupita kiasi
βœ”οΈ Inayotoshea vizuri na kustarehesha siku nzima
βœ”οΈ Ubora wa kudumu kwa matumizi ya kila siku

πŸ›’ Pata zako leo – kwa bei nafuu na punguzo maalum!
πŸ“¦ Tunakutumia ulipo, haraka na salama!

01/04/2025

Address

Sinza Kumekucha
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Helen Shanua posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category