24/08/2026
Mpangilio(Settings) ukiwa unaendelea sautu inaweza isiwe sawa ilihalivyombo vya mziki vimefungwa vizuri.
DJ ni nani?
DJ ni kifupi cha Disc Jockey.
Kwa Kiswahili, tunaweza kumwelezea k**a mtu anayechagua, kupanga, kuchanganya na kucheza muziki kwa ajili ya hadhira, kwa kutumia vifaa vya DJ.
DJ si lazima awe anapiga muziki wa aina moja tu. Anaweza kufanya kazi kwenye club, wedding, birthday, corporate event, festival, concert, radio au private party.
tuna vifaa vya mziki vyenye ubora wa hali ya juu vya kufanya kilamtu kufurahia ikiwemo DJ pale anapo chagua nyimbo za kutumbuiza.
Dj Hupata nafasi ya kufanya sound check ilikuhakikisha vifaa vyake vinafanya kazi kwa usahihi. Pale sauti inapokuwa haitoki kwa uzuri, sound engineer wetu hushirikiana nao kuhakikisha Sauti yenye ubora inasikika.
Tunafurahia kufanya kazi pamoja na Dj mwenye vibe wakati wote.
Sound system P.A and Backline from Us