Bongo Music Awards-BMA

Bongo Music Awards-BMA Bongo Music Awards is the Entertainment Award especially in Music Industry that aim to recognize goo

Kwa wapenzi wa Nyimbo nzuri za Tenzi za Rohoni Naomba Subscribe Channel hii.
21/01/2026

Kwa wapenzi wa Nyimbo nzuri za Tenzi za Rohoni Naomba Subscribe Channel hii.

Tenzi za Rohoni ni mkusanyiko wa nyimbo za imani zinazolenga kuinua roho, kumtukuza Mungu, na kututia moyo katika safari ya kiroho.🎵 Wimbo huu unaleta ujumb...

Naomba nisaidie ku Subscribe Channel hii ya Tenzi za Rohoni na Utizame Tenzi mbalimbali zilizowekwa. Ahsante
16/12/2025

Naomba nisaidie ku Subscribe Channel hii ya Tenzi za Rohoni na Utizame Tenzi mbalimbali zilizowekwa. Ahsante

Share your videos with friends, family, and the world

Habari ya leo , Ninakukaribisha ku bofya Link hii na ku Subscribe Channel yangu ili kupata nyimbo mbalimbali za Tenzi za...
22/11/2025

Habari ya leo , Ninakukaribisha ku bofya Link hii na ku Subscribe Channel yangu ili kupata nyimbo mbalimbali za Tenzi za Rohoni. https://www.youtube.com/?sttick=0

https://youtu.be/HvobGkVxJ_0
26/09/2025

https://youtu.be/HvobGkVxJ_0

📖 YouTube Description (BONGOWOOD Channel)🌟 BONGOWOOD proudly presents the official video for “Cindelela” by Jay Bongo 🌟This powerful Afrobeat/Afro-fusion ...

TAARIFA KWA UMMATarehe: 04/05/2025KAMPUNI YA MILLENNIUM STARS ENTERTAINMENT YASHTUSHWA NA KUTUMIWA KWA MUUNDO WA TUZO YA...
03/05/2025

TAARIFA KWA UMMA
Tarehe: 04/05/2025

KAMPUNI YA MILLENNIUM STARS ENTERTAINMENT YASHTUSHWA NA KUTUMIWA KWA MUUNDO WA TUZO YAKE YA “BONGO MUSIC AWARDS” NA EAGMA BILA IDHINI

Millennium Stars Entertainment inapenda kuwataarifu wadau wote wa tasnia ya burudani, wasanii, mashabiki wa muziki, vyombo vya habari, na umma kwa ujumla kuwa tumeshtushwa na kuguswa sana na taarifa na ushahidi wa wazi unaoonesha kuwa tuzo iitwayo East Africa Gospel Music Awards (EAGMA) imetumia muundo na muonekano unaofanana kwa kiwango kikubwa na ule wa tuzo yetu halali na ya kipekee – Bongo Music Awards.

Tuzo ya Bongo Music Awards ni ubunifu wa Millennium Stars Entertainment uliobuniwa kwa dhima ya kuenzi na kuthamini mafanikio ya wasanii wa muziki nchini Tanzania. Muundo wake ni wa kipekee, wenye alama ya utambulisho, hadhi, na ubora unaotambulika ndani na nje ya nchi.

Hatukuwahi kutoa ruhusa wala kushirikiana na EAGMA katika kubuni au kutumia muundo huo. Kitendo hiki si tu kwamba ni kinyume cha maadili ya kitaaluma, bali pia kinaashiria ukiukwaji wa haki za ubunifu na utambulisho wa chapa.

Tunawaomba wadau wote kutambua kuwa:

Bongo Music Awards ni tuzo halali ya Millennium Stars Entertainment pekee na Muundo wake wa Kipekee unaitambulisha kwa Upekee wake Nchini Tanzania kwani haijawahi kutolewa na nuandaaji yeyote wa Tuzo Nchini.

Hatuhusiki kwa namna yoyote na tuzo za EAGMA.

Tunachukua hatua rasmi za Kisheria ikiwa ni pamoja na kuwasilisha malalamiko yetu Rasmi katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na Katika vypmbo vingine vya Utoaji haki.

Tunaendelea kusimama imara katika kulinda ubunifu wa ndani ya nchi na kuhimiza ushindani wa haki katika tasnia ya sanaa. Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadri mchakato unavyoendelea.

Imetolewa na:
Josias Charles
Mkurugenzi-Millennium Stars Entertainment
04/05/2025

.tanzania

09/12/2024

Welcome to Bongo Music Awards-BMA where are you connecting from?

Enjoy Good Music kutoka AI Music. Wimbo maalumu wa Kuomba Msamaha kwa unayempenda.Artist: AI MusicSong: Nisamehe Mpenzi
05/12/2024

Enjoy Good Music kutoka AI Music. Wimbo maalumu wa Kuomba Msamaha kwa unayempenda.
Artist: AI Music
Song: Nisamehe Mpenzi

Nisamehe Mpenzi ni wimbo mzuri kwa ajili ya kuomba Msamaha kwa mpenzi uliyemkosea ama kukubali msamahaProducer: AI Music Records.Tafadhali Subscribe

04/12/2024

Pure Talent

28/02/2024

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo Music Awards-BMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bongo Music Awards-BMA:

Share

Category