Arusha International Conference Centre

Arusha International Conference Centre Looking for a meeting venue? Welcome to AICC located at the heart of Africa, midway between Cairo and Capetown.

The perfect venue for your meetings with abundant natural attractions around, the Centre accommodates up to 1,350 delegates.

AICC Board Meeting Begins in Arusha today The 158th meeting of the Board of Directors of the Arusha International Confer...
10/08/2026

AICC Board Meeting Begins in Arusha today
The 158th meeting of the Board of Directors of the Arusha International Conference Centre (AICC) has commenced today 10th August 2026, in Arusha under the chairmanship of Ambassador Dr. Jilly Elibariki Maleko.
The meeting brings together members of the AICC Board to deliberate on key institutional matters, review ongoing activities, and provide strategic direction for the Centre. Financial, Human Resources and ICT Committee, Investment Committee and Audit and Risk Committee have preceded the meeting.

📍ArushaWajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), wakiongozwa na Mwenyekiti Baloz...
08/08/2026

📍Arusha
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), wakiongozwa na Mwenyekiti Balozi. Dkt. Jilly Maleko, wamefanya ziara ya kikazi kukagua maendeleo ya mradi wa kimkakati wa Mount Kilimanjaro International Convention Centre (MKICC) pamoja na maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Mabunge Duniani (IPU) unaotarajiwa kufanyika kituoni hapo jijini Arusha Oktoba Mwaka huu.

Ziara hii inalenga kuhakikisha miundombinu na huduma ziko katika viwango vya juu vya kimataifa, ikidhihirisha utayari wa Tanzania kuendelea kuwa kitovu kikuu cha utalii wa mikutano na diplomasia duniani.

📍DodomaMaafisa wa Kituo cha Kimataifa chaMikutano Arusha (AICC) wakiongozwana Afisa Mwandamizi Huduma za Mikutano Bw. Ri...
08/08/2026

📍Dodoma
Maafisa wa Kituo cha Kimataifa cha
Mikutano Arusha (AICC) wakiongozwa
na Afisa Mwandamizi Huduma za Mikutano Bw. Richard Mseri
wakiwafahamisha Wananchi wa Dodoma juu ya huduma zinazotolewa na Kituo wakati wa Maonesho ya Wakulima NaneNane 2026 Jijini Dodoma.

05/08/2026
📍ArushaSPIKA AKAGUA MAANDALIZI YA MKUTANO WA IPU 2026 AICC.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. M***a...
04/08/2026

📍Arusha
SPIKA AKAGUA MAANDALIZI YA MKUTANO WA IPU 2026 AICC.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. M***a Hassan Zungu, leo tarehe 4 Oktoba 2026 amefanya ziara ya kukagua maandalizi ya Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Mkutano huo wa kihistoria unatarajiwa kuanza rasmi, tarehe 5 hadi 9 Oktoba 2026, katika Kituo Cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC). AICC ipo tayari kuwakaribisha wajumbe kutoka kote duniani!

01/08/2026

Karibu utenbelee Banda letu ndani ya viwanja vya nanenane Nzuguni Dodoma ... Tupo katika Banda la ofisi ya rais, makamu wa rais na waziri mkuu..
Karibu tukusikilize na kukuhudumia

Dodoma, Tuko Hapa Kwa Ajili Yako! Ukiwa katika viwanja vya Nane Nane Nzuguni-Dodoma, hakikisha haupiti bila kufika kweny...
30/07/2026

Dodoma, Tuko Hapa Kwa Ajili Yako!

Ukiwa katika viwanja vya Nane Nane Nzuguni-Dodoma, hakikisha haupiti bila kufika kwenye banda la AICC!

📍 Mahali: Ndani ya Banda la Ofisi ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
🗓️ Tarehe: 1 – 8 Agosti 2026

Njoo ujifunze kuhusu huduma zetu za mikutano ya kitaifa na kimataifa, utalii wa mikutano na fursa za uwekezaji. Watalaamu wetu wapo tayari kukuhudumia!

Karibuni Wote! 🤝

📍ArushaKituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) ndiyo mahali pa kuwa leo! Kongamano la Kumi la Ununuzi wa Umma...
29/07/2026

📍Arusha
Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) ndiyo mahali pa kuwa leo!

Kongamano la Kumi la Ununuzi wa Umma 2026 linaendelea kushika kasi hapa AICC! Ukumbi wetu wa Simba Hall umewaleta pamoja wataalamu, viongozi na wadau zaidi ya elfu moja wa sekta ya ununuzi kutoka kote nchini, wakipika mikakati mizito ya kuleta mapinduzi ya kidijitali katika uchumi wa Tanzania!

Mada na mijadala mizito inayolenga kufikia Dira ya Taifa 2050 inaendelea, huku AICC ikiwa sehemu ya historia kwa kuwa mwenyeji wa mkutano huu wenye maamuzi makubwa kwa Taifa letu.

29/07/2026

26/07/2026

Address

East African Community Bvd
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 22:00
Tuesday 08:00 - 22:00
Wednesday 08:00 - 22:00
Thursday 08:00 - 22:00
Friday 08:00 - 22:00
Saturday 08:00 - 22:00
Sunday 08:00 - 22:00

Telephone

+255272050181

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arusha International Conference Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share