Mc Msilu Entertainments

Mc Msilu Entertainments Book Us now - 0656292978

Professional Master of Ceremony ( Mc )
Best Radio & Tv Presenter
Media Officer Mbuni Fc - Arusha
Father
Public Speaker
Karibu tukuhudumie kwa huduma zote Engagement, Sendoff, Wedding 💍, Funeral , Cooperate Events.

KWA VIJANA TU .sikia kijana acha tabia ya kuwa na haraka, Mambo huenda taratibu na kisha hutimia kwa Furaha .Hizo pesa z...
20/10/2024

KWA VIJANA TU .

sikia kijana acha tabia ya kuwa na haraka, Mambo huenda taratibu na kisha hutimia kwa Furaha .

Hizo pesa za haraka ,Ndoa za haraka , nyumba za haraka , hazidumu na mara nyingi zinakosa ushuhuda U Just Relax Mungu atakuinua Taratibu usione Aibu kukosa Leo , usijipuuze kuchelewa kujenga au Kuoa au kuolewa tulia Mungu Yupo kazini 📌

Tazama Wabena Hawa Kisha Usiache kusubscribe katika Chanel yetu ya Msilu Tv
20/10/2024

Tazama Wabena Hawa Kisha Usiache kusubscribe katika Chanel yetu ya Msilu Tv

NENO LA WAKATI MWEMA.*Laiti wangetupa nafasi ya kutusikiliza na kutujua vizuri ,Yamkini wasingetuhukumu kwa habari waliz...
02/10/2024

NENO LA WAKATI MWEMA.

*Laiti wangetupa nafasi ya kutusikiliza na kutujua vizuri ,Yamkini wasingetuhukumu kwa habari walizozisikia Kuhusu sisi*

Mc Msilu Brand yakuaminika.

Professional Mc of all Events. ,Engagement, Send-off, Wedding , Co-operative EventFor Booking -0656292978. Karibu sana T...
29/09/2024

Professional Mc of all Events.
,Engagement, Send-off, Wedding , Co-operative Event
For Booking -0656292978.
Karibu sana Tukuhudumie

NENO LA WAKATI MWEMA.Jina,Jina ,jina Tunza na heshimu sana Jina lako ,jina lako ndiyo mtaji wako mkubwa.Imani ya watu  i...
17/09/2024

NENO LA WAKATI MWEMA.

Jina,Jina ,jina
Tunza na heshimu sana Jina lako ,jina lako ndiyo mtaji wako mkubwa.

Imani ya watu imejengwa katika jina lako , siyo kuitwa Fulani ila jina lako linafanya Nini ,linatenda Nini kila siku .

Kila Biashara Ina jina , Kila Kanisa na misikiti Ina majina Kila mtaa una jina ,Je umetambua umuhimu wa Jina lako ? Bora ukose pesa lakini siyo Jina lako kuchafuka , Linda sana tunza sana Jina lako.

Mc Msilu Brand yakuaminika "

HAPPY MOMENTS.Safari ya Milima na Mabonde , Elimu ya utu uzima lakini ukasimama na Bwana mpaka Leo umehitimu .3 Year's c...
13/09/2024

HAPPY MOMENTS.

Safari ya Milima na Mabonde , Elimu ya utu uzima lakini ukasimama na Bwana mpaka Leo umehitimu .

3 Year's classs oooooh my God siyo safari ndogo 😭😭 , Moyo wangu umefurahi kwaajili Yako Mchungaji wangu ,mlezi wangu wa Kiroho , Mchungaji Specioza Jokakuuu Hongera sana Mama

CHUKUA HII ITAKUSAIDIA KESHO.Hasara kubwa kwenye maisha yetu ni kile kinachokufa ndani yetu wakati bado tunaishi. Usiogo...
27/08/2024

CHUKUA HII ITAKUSAIDIA KESHO.

Hasara kubwa kwenye maisha yetu ni kile kinachokufa ndani yetu wakati bado tunaishi.

Usiogope kufa ogopa kufa bila kutimiza kusudi la kuishi kwako.

Mc Msilu book Us now -0656292978

NENO LA WAKATI MWEMA.Usifanye maamuzi kwaajili ya watu fulani, watu hubadilika. Huenda wale wale wanaokulaumu leo kwasab...
22/08/2024

NENO LA WAKATI MWEMA.

Usifanye maamuzi kwaajili ya watu fulani, watu hubadilika. Huenda wale wale wanaokulaumu leo kwasababu ya maamuzi yako wakakubaliana na wewe huko mbeleni katika maamuzi yale yale waliyoyapinga.

Msikilize Mungu, fanya kile Anakuongoza.
na Mungu.

Wewe ni matokeo ya Mawazo yako, unawaza Nini ? unafikiria nini? na Mwisho unatenda nini?. Mc Msilu Brand yakuaminika
20/08/2024

Wewe ni matokeo ya Mawazo yako, unawaza Nini ? unafikiria nini? na Mwisho unatenda nini?.

Mc Msilu Brand yakuaminika

CHUKUA HII KIJANA MWENZANGUNilichojifunza katika maisha,Siri kubwa ya mafanikio ni kupambana bila kukata tamaa tena bila...
14/08/2024

CHUKUA HII KIJANA MWENZANGU

Nilichojifunza katika maisha,Siri kubwa ya mafanikio ni kupambana bila kukata tamaa tena bila kuangalia watu wanakusema nini.

Nikagundua tena katika maisha watu wengi tumekatishwa tamaa ya kufikia malengo yetu sababu ya maneno ya watu.
Nikashuhudia kwamba kila mwanadamu anamadhaifu yake,lakini ukweli ni kwamba katika Udhaifu ndiyo kuna ukamilifu unapotokea katika madhaifu yetu

*NIKAJIFUNZA YANIPASA KUPAMBANA NA MAISHA NA SI KUPAMBANA NA WATU

Tuendelee kufanya Booking kwa Mwezi September na October .Karibu sana kwetu Mc Msilu Entertainment Brand yakuaminika tuk...
12/08/2024

Tuendelee kufanya Booking kwa Mwezi September na October .

Karibu sana kwetu Mc Msilu Entertainment Brand yakuaminika tukuhudumie.

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mc Msilu Entertainments posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share