Daraja Bora Foundation

Daraja Bora Foundation WE champion Swahili language and culture through global programs like Tamasha ya Ulimbwende wa Kiswahili and Usiku wa Mswahili.

We partner with key stakeholders such as Radio Maisha to inspire excellence among learners and teachers worldwide.

Joka baba wungima?😜Sherehe imeandaliwa kwa mashemeji zetu na nyote mmekaribishwa! Utakuwepo?Msajili mwanao, mwanafunzi w...
03/06/2026

Joka baba wungima?😜
Sherehe imeandaliwa kwa mashemeji zetu na nyote mmekaribishwa!

Utakuwepo?
Msajili mwanao, mwanafunzi wako ili uhondo utufikie sote!
Tarik apar gadek chakre e wang saa mar saa ariyo mokinyi !!

πŸ”₯ TUMERUDI TENA! πŸ”₯

Safari hii tunarudi kwa kishindo kikubwa zaidi! πŸš€

πŸ—£οΈ Mijadala yenye mvuto!
πŸ”€ Mashindano makali ya tahajia!
πŸ† Mashindano kemkem na kabambe!
🎭 Burudani za kufa mtu – usibaki nyuma!

πŸ’° Ada za ushiriki:
πŸ‘¨β€πŸŽ“ Mwanafunzi – Ksh 600
πŸ‘©β€πŸ« Mwalimu – Ksh 1000

πŸ“Œ Kila timu kutoka shuleni iwe na wanafunzi watatu! Shule ina uwezo wa kusajili timu nyingi!

Jipange mapema, jiandae kikamilifu, na uje kuonesha uwezo wa wanafunzi wako!

✨ Hii si nafasi ya kujiburudisha tu – ni jukwaa la kuibua vipaji, kujifunza, kushindana na kusherehekea lugha adhimu ya Kiswahili!

USIBAKI NYUMA… JIUNGE NA HISTORIA! πŸ”₯

Mulembe vosi!!!😜Sherehe imeandaliwa kwa mashemeji zetu na nyote mmekaribishwa! Utakuwepo?Msajili mwanao, mwanafunzi wako...
03/06/2026

Mulembe vosi!!!😜
Sherehe imeandaliwa kwa mashemeji zetu na nyote mmekaribishwa!
Utakuwepo?
Msajili mwanao, mwanafunzi wako ili uhondo utufikie sote!

πŸ”₯ TUMERUDI TENA! πŸ”₯

Safari hii tunarudi kwa kishindo kikubwa zaidi! πŸš€

πŸ—£οΈ Mijadala yenye mvuto!
πŸ”€ Mashindano makali ya tahajia!
πŸ† Mashindano kemkem na kabambe!
🎭 Burudani za kufa mtu – usibaki nyuma!

πŸ’° Ada za ushiriki:
πŸ‘¨β€πŸŽ“ Mwanafunzi – Ksh 600
πŸ‘©β€πŸ« Mwalimu – Ksh 1000

πŸ“Œ Kila timu kutoka shuleni iwe na wanafunzi watatu! Shule ina uwezo wa kusajili timu nyingi!

Jipange mapema, jiandae kikamilifu, na uje kuonesha uwezo wa wanafunzi wako!

✨ Hii si nafasi ya kujiburudisha tu – ni jukwaa la kuibua vipaji, kujifunza, kushindana na kusherehekea lugha adhimu ya Kiswahili!

USIBAKI NYUMA… JIUNGE NA HISTORIA! πŸ”₯

πŸ”₯ TUMERUDI TENA! πŸ”₯Safari hii tunarudi kwa kishindo kikubwa zaidi! πŸš€πŸ—£οΈ Mijadala yenye mvuto!πŸ”€ Mashindano makali ya tahaji...
03/06/2026

πŸ”₯ TUMERUDI TENA! πŸ”₯

Safari hii tunarudi kwa kishindo kikubwa zaidi! πŸš€

πŸ—£οΈ Mijadala yenye mvuto!
πŸ”€ Mashindano makali ya tahajia!
πŸ† Mashindano kemkem na kabambe!
🎭 Burudani za kufa mtu – usibaki nyuma!

πŸ’° Ada za ushiriki:
πŸ‘¨β€πŸŽ“ Mwanafunzi – Ksh 600
πŸ‘©β€πŸ« Mwalimu – Ksh 1000

πŸ“Œ Kila timu kutoka shuleni iwe na wanafunzi watatu! Shule ina uwezo wa kusajili timu nyingi!

Jipange mapema, jiandae kikamilifu, na uje kuonesha uwezo wa wanafunzi wako!

✨ Hii si nafasi ya kujiburudisha tu – ni jukwaa la kuibua vipaji, kujifunza, kushindana na kusherehekea lugha adhimu ya Kiswahili!

USIBAKI NYUMA… JIUNGE NA HISTORIA! πŸ”₯

Happy Madaraka Day to all of you!!
01/06/2026

Happy Madaraka Day to all of you!!

30/05/2026

Tamasha ya Ulimbwende wa Kiswahili | Jabali Christian Schools

Siku ya siku ni kesho! Sekunde ni za kuhesabu tu!!!!Umejipangia nini?Umewapanga vipi?Twende twende!!
29/05/2026

Siku ya siku ni kesho!
Sekunde ni za kuhesabu tu!!!!
Umejipangia nini?
Umewapanga vipi?

Twende twende!!

28/05/2026

Siku ya siku imetimia 🀩

Kuna kipya huku!! Wanafunzi watapata kuhamasishwa kuhusu thamani ya Kiswahili kwao kwa mtindo thabiti na bora wa kuleta ...
22/05/2026

Kuna kipya huku!!
Wanafunzi watapata kuhamasishwa kuhusu thamani ya Kiswahili kwao kwa mtindo thabiti na bora wa kuleta ufanisi.

Haloooooo!
Siku zinazidi kuyoyoma!
Tunahesabu tu dakika!
Je, ushasajili wanafunzi wako?
Makani: Jabali Christian School, Barabara ya Cosmas Ndeti, nyuma ya Imaara Mall,
Imara Daima Estate - Nairobi.
Siku: Jumamosi 30 May 2026,
Saa: 8:00 AM - 4:00 PM

Mambo yatanogaaaaaa!
Fika mapemaaaaaa!!!

Haloooooo!Siku zinazidi kuyoyoma! Tunahesabu tu dakika! Je, ushasajili wanafunzi wako?Makani: Jabali Christian School, B...
22/05/2026

Haloooooo!
Siku zinazidi kuyoyoma!
Tunahesabu tu dakika!
Je, ushasajili wanafunzi wako?
Makani: Jabali Christian School, Barabara ya Cosmas Ndeti, nyuma ya Imaara Mall,
Imara Daima Estate - Nairobi.
Siku: Jumamosi 30 May 2026,
Saa: 8:00 AM - 4:00 PM

Mambo yatanogaaaaaa!
Fika mapemaaaaaa!!!

Hallooooooooo!Wanafunzi wetu katika magatuzi ya Nairobi, Kajiado, Kiambu, Muranga, Makueni, Machakos mpoooo? Hayawi haya...
07/05/2026

Hallooooooooo!
Wanafunzi wetu katika magatuzi ya Nairobi, Kajiado, Kiambu, Muranga, Makueni, Machakos mpoooo?
Hayawi hayawi hatimaye imekuwa!
Jumamosi ya 30 Mei, sote tupo mbioni kujaza ukumbi wa kisasa pale Moi Educational Centre Senior School ili kujifunza, kusikilizwa, kujiburudisha na kuelimishana!

Fika asubuhi na mapemaaaa!

Address

38238
Nairobi
00100

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 16:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daraja Bora Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category