23/10/2024
Wanangu Wa Dar πΉπΏπ₯
Usikose ku - Tunadondosha Oktobafest Vibes za Kijanja! Hakikisha Uko Ndani! β¨
Tarehe: 26 Oktoba
Mahali: - , Mbezi (opposite Ramada Hotel)
By The Bar & Boom E wanakuletea usiku wa kihistoria na lineup kali ya wasanii:
π§ , kutoka Tanzania akishusha mziki mzito πΉπΏ
π§ , special guest kutoka Kenya anakuja kuchangamsha hali π°πͺ
πΈ , wakali wa Kenya wakifanya mambo yawe moto zaidi π°πͺ
Hii sio tukio la kawaida, ni EXPERIENCE ya kipekee!
Kiingilio: BURE!! π°
π«
Kwa mawasiliano na booking: +255 747 578 238
π±
Usikose nafasi ya kuwa sehemu ya Oktobafest yenye vibe mpya kabisa! K**a unajua, unajua... π