01/10/2024
Stolen “Hi admin naomba maidha!
Jana nilipigia girlfriend yangu simu usiku mzima hakushika.
Leo morning nikaraukia kwake kindege vile tu wahenga walisema early bird catches the warm! By 9am nilikuwa kwake.
Nilipata mlango haijafungwa kwa ndani nikaingia!Nikapata amelala fofofo lakini ni k**a maji ilimwagika kwa kitanda na kwa floor but sikuona glass anywhere na inakaa amechoka sana!
Sasa sielewi hii inamaanisha nini?”