
31/12/2024
🚨 Asante sana Mungu wangu kwa kunivusha mwaka 2024 na kunifikisha mwaka mpya wa 2025 Mwaka uwe wenye furaha na mafanikio kwangu na kwa kila anayeusoma ujumbe Huu Happy new Year Familia yangu.
Tuzidi kusapotiana zaidi Sema Ameni k**a umeuona mwaka mpya wa 2025