PCK Music
(1)

VIPI UPO UPANDE GANI KATI YA A AO B?
24/09/2025

VIPI UPO UPANDE GANI KATI YA A AO B?

23/09/2025
La réponse à un imbécile est de rester silencieux.
20/09/2025

La réponse à un imbécile est de rester silencieux.

Watoto wa tundulisu........Mnaionaje hiii team? Vipi nikija kugombea kupitia chadema mtanipigia kura?
18/09/2025

Watoto wa tundulisu........

Mnaionaje hiii team? Vipi nikija kugombea kupitia chadema mtanipigia kura?

Tatizo ni kamdomo........Nani anakumbuka maneno yake alo post kabla ya Game?Kamdomo
16/09/2025

Tatizo ni kamdomo........

Nani anakumbuka maneno yake alo post kabla ya Game?

Kamdomo

Trust me kwa jinsi nilivyoifatilia kesi ya Mr President Tundulisu na kwa uelewa wangu wa sheria basi ni 100% leo  anaach...
15/09/2025

Trust me kwa jinsi nilivyoifatilia kesi ya Mr President Tundulisu na kwa uelewa wangu wa sheria basi ni 100% leo anaachiwa Huru

Na asipo achiwa leo basi nitaamini tanzania hakuna sheria wala haki

But trust me leo Lisu Anatoka

Dah!!! Kila nikiona hiii picha inanifanya nizidi kuwaogopa saana binadamHivi lisu alimkosea nini Mbowe? Rafiki yako mwan...
12/09/2025

Dah!!! Kila nikiona hiii picha inanifanya nizidi kuwaogopa saana binadam

Hivi lisu alimkosea nini Mbowe? Rafiki yako mwanachama mwenzio anakaa mahabusu kwa kesi ya kubambikiziwa hata siku 1 huendi si mahakamani Huendi kumuona seriously?

Dah!!! Binadam wabaya saana kwakweli.....

Hiyo ndio Top 5 Artist Kutoka Congo Drc (Best Artist all the time)……. K**a jina lako HALILI hapo basi ujue wewe ni under...
09/09/2025

Hiyo ndio Top 5 Artist Kutoka Congo Drc (Best Artist all the time)……. K**a jina lako HALILI hapo basi ujue wewe ni underground bado so jitafute saana

Hii ni kwa wasanii ifikie hatua wasaniii mtambue na kuheshim ma legend wa game....Ukweli naomba  &  wasiwe wanafananishw...
08/09/2025

Hii ni kwa wasanii ifikie hatua wasaniii mtambue na kuheshim ma legend wa game....

Ukweli naomba & wasiwe wanafananishwa na upuuzi wowote ule

And Media zoote za online msiwe mnaenda kuhoji walevi huku mkiwa mnaona kabisa mtu kalewa alafu mnaenda kutafuta content kwa mlevi mnakua mnaharibu CV zenu na heshima ya media yenu pia....

Ukweli usio pingika
07/09/2025

Ukweli usio pingika

Address

Marsa Dubai

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PCK posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to PCK:

Share