OfaNex Group Limited

  • Home
  • OfaNex Group Limited

OfaNex Group Limited Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from OfaNex Group Limited, Laser Tag Center, .

Practical solutions for businesses and organizations in Physical Asset Identification & Management, Direct Part Marking (DPM), Packaging, Labelling & Business Branding, Digital Media & Content, Business & Organizational Systems

OfaNex-Set Your Standard.

JINSI WALIVYOPATA HASARA YA TSH MILIONI 109. KILA MFANYA BIASHARA NCHINI TANZANIA ANAPASWA KUJIFUNZA KITU. Wamiliki weng...
18/11/2026

JINSI WALIVYOPATA HASARA YA TSH MILIONI 109. KILA MFANYA BIASHARA NCHINI TANZANIA ANAPASWA KUJIFUNZA KITU.

Wamiliki wengi wa biashara/Makampuni hudhani kuwa upotevu wa vitu au vifaa/vitendea kazi ndani ya biashara/taasisi ni tatizo linalotokea mara chache.

Ukweli ni kwamba, tatizo hili linaendelea kutokea kimyakimya ndani ya kampuni na taasisi mbalimbali nchini Tanzania kila siku.

Kampuni moja kubwa jijini Dar wanamiliki magari 239. Hii kampuni ilikumbwa na hasara kubwa sana na kidogo ifirisike. Iko hivi vipuri vya magari vilikuwa vinaibiwa mara kwa mara jambo ambalo lilihitaji wanunue vingine kurejesha. Vitu k**a battery,side mirror n.k vilinyofolewa mara kwa mara licha ya kampuni kuwa na walinzi na CCTV. Vifaa vingine viliibiwa kwenye maeneo mbalimbali magari yanakoenda. Hii ilisababisha kampuni ipate hasara ya milioni 109 kila mwaka kwa miaka 3.

Ukweli ni kwamba changamoto kubwa iliyokuwepo kwenye kampuni hiyo ni usimamizi mbaya wa rasilimali vitu na kukosekana kwa mfumo wa uwajibishwaji.

Kampuni hiyo walikutana na matangazo yetu mtandaoni hapa, wakatuita na tutakaenda kuwawekea alama ya utambuzi isiyofutika(inayodumu) kwenye vile vipuri vya gari vinavyoibwa mara kwa mara. Pia tuliwawekea alama kwenye vifaa vyote vya ofisi yao. Kila kifaa kilichowekwa alama ya utambuzi tulikiingiza kwenye kanzi data ya kidigitali na baadaye tuliwapa elimu ya usimamizi na utunzaji wa rasilimali vitu(physical assets). Kwasasa wako vizuri sana, wanajua cha kufanya.

Huduma hii imewasaidia sana katika ukaguzi(auditing), uwajibikaji, ulinzi kabla ya mlizi, kupunguza uwizi kwasababu wezi hawapendi vifaa vyenye alama ya utambuzi isiyofutika, haviuziki sokoni.

Kamwe usikubali kampuni yako ipate hasara kwa kushindwa kuweka Alama ulinzi kabla ya mlinzi. Na ulinzi maridhawa ni Alama ya utambuzi isiyofutika inayowekwa kwa teknolojia ya kisasa. Alama Ya Utambuzi ni Utulivu wa moyo kwa vitu vyako,ni alama ya uwajibikaji.


Ikiwa changamoto hii inafanana na hali ya taasisi au biashara yako, tuwasiliane ili kujadili namna bora ya kulinda, kutambua na kusimamia mali zako. Iwe ni vifaa vya ofisini,Hospitalini,kanisani,shule nk utapata huduma hii.

OfaNex — Set Your Standard.

17/11/2026

Hospitali inaweza kuwa na vifaa vingi, lakini je, ina taarifa sahihi za kila kifaa na inaweza kukitambua kwa urahisi?

Bila utambulisho wa kudumu na kanzidata ya kidigitali, kufuatilia vifaa, kuthibitisha umiliki na kusimamia taarifa zake kunaweza kuwa changamoto.

OfaNex inatumia teknolojia yaDirect Part Marking (DPM) kuweka alama ya utambuzi isiyofutika kwenye kila kifaa na uhifadhi wa taarifa za mali kidigitali ili kusaidia hospitali kuimarisha utambuzi, ufuatiliaji na uwajibikaji.

Usimamizi bora wa mali unaanzia kwenye utambulisho sahihi.

Wasiliana nasi:
Call / WhatsApp: 0793222288
Email: [email protected]
Website: www.ofanex.co.tz

15/11/2026

Je, shule yako inaweza kutambua vifaa vyake kwa urahisi vinapopotea au kuhamishwa?

Vifaa k**a kompyuta, madawati, mashine na vifaa vya maabara vina thamani kubwa. Bila alama za utambulisho Isiyofutika(ya kudumu), inakuwa vigumu kuthibitisha umiliki na kufuatilia vifaa hivyo. Vibandiko vya kawaida k**a stika au rangi vinaweza kufutika, kuchanika au kuondolewa.

Kupitia teknolojia ya Direct Part Marking (DPM), OfaNex tunaweka alama ya kudumu kwenye vifaa vyote vya shule na hii husaidia kwenye uwajibikaji, ulinzi na usimamizi wa vitendea kazi.

Ulinzi wa mali za shule unaanzia kwenye utambulisho wake, ikifatiwa na orodha ya kidigitali sio makaratasi.

Zipatie vifaa vyako utambulisho wa kudumu leo!

OfaNex Group Limited — Set Your Standard.

📞 0793222288 🌐 www.ofanex.co.tz

# UwajibikajiDirectPartMarkingPermanentAssetIdentification

15/11/2026
13/11/2026

Ni muhimu kwa Shule zote nchini Tanzania

13/11/2026
10/11/2026

Je unajua unaweza ukalinda mali/vifaa/vitendea kazi vya taasisi au vitu vyako kwa njia rahisi tu na kuupa moyo wako utulivu?

Weka alama ya utambuzi isiyofutika yaani alama ya ulinzi kwenye kila kifaa chako upate utulivu wa moyo.Hii ni bima nambari moja kabla ya Bima hiyo unayoijua, huu ni ulinzi k**a ya mlinzi na CCTV pamoja na Fensi yako yenye nyaya za umeme. Kumbuka mwizi haibi ambacho hawezi kuuza yaani chenye alama isiyofutika.

Hii inafaa kwa Makanisa,Shule,Makampuni,NGOs,watu wa Bima,taasisi zote za umma nk.

Wasiliana nasi uwekewe alama ya utambuzi Isiyofutuka na alama ya ulinzi.

09/11/2026

Je, Vifaa vya ofisi katika taasisi Yako vina alama ya utambuzi na ya ulinzi isiyofutika?

Alama ya utambuzi na ulinzi isiyofutika inayowekwa kwa teknolojia ya kisasa yaani DIRECT PART MARKING

-Ni tiba ya uwizi na upotevu wa vifaa vya taasisi
-Ni utulivu wa moyo kwa wasimamizi wa taasisi
-Ni msaada wa kulinda mali/vifaa vya taasisi kwa urahisi
-Ni alama ya uwajibikaji
-Ni njia rahisi ya kurahisisha na kuwasilisha nyaraka wakati wa auditing nk

Mali,Vifaa au vitendea kazi ndani ya taasisi ndio moyo wa taasisi. Bila uangalizi na matunzo basi kila mwaka ni hasara tupu.

Weka utambulisho wa kudumu kwenye kila mali,kifaa au vitu muhimu.
Wasiliana nasi leo kwa huduma hiyo na tutafika ofisini kwako.
📞 0793222288 📧 [email protected] 🌐 www.ofanex.co.tz
OfaNex — Set Your Standard.

03/11/2026

Je una kiwanda kidogo/cha kati na unataka bidhaa zako ziwe na jina,Logo,au alama yoyote ya utambuzi unayitaka??

Kwa wale watengeneza bidhaa za ngozi k**a mikoba,viatu,mikanda,pochi nk k**a unataka kufanya brand yako ijulikane,jina lako lisambae na ulinde jina la bidhaa zako sokoni basi usisite kutuita tukuwekee alama ya utambuzi isiyofutika na utatushukuru.

Wasiliana nasi officially kwa email [email protected] au 0793222288(Whatsapp na kawaida)

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OfaNex Group Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed event planning service?

Share