DECCO

DECCO DECCO provides Events Decorations, Catering Services and Consultancy on events planning.

Marashi muruwa kwa kufukizia nguo na mwili wako pia. Hutojuta ukinunua kutoka kwetu. Tupo Michenzani tobo la pili......
12/06/2024

Marashi muruwa kwa kufukizia nguo na mwili wako pia. Hutojuta ukinunua kutoka kwetu. Tupo Michenzani tobo la pili......

Kula chakula kitamu cha ki Zanzibari kwenye mikutano na maharusi. Pata utamu wa ladha ya chakula uishi maisha matamu.Exp...
10/12/2023

Kula chakula kitamu cha ki Zanzibari kwenye mikutano na maharusi. Pata utamu wa ladha ya chakula uishi maisha matamu.

Experience our Zanzibar cuisine in meetings and weddings. Life is good with tasty food.

Tunafungasha dhifa kwa kutumia kifungashio rafiki wa mazingira 🍀🍀🍀 Our snacks are packed in environmental friendly conta...
29/05/2023

Tunafungasha dhifa kwa kutumia kifungashio rafiki wa mazingira 🍀🍀🍀 Our snacks are packed in environmental friendly container




DECCO ina unga mkono Zanzibar ya kijani
29/05/2023

DECCO ina unga mkono
Zanzibar ya kijani

Tunapenda kutanguliza salamu za sikukuu ya Eid el Fitr kwa ndugu, jamaa, marafiki na wateja wetu wote.
20/04/2023

Tunapenda kutanguliza salamu za sikukuu ya Eid el Fitr kwa ndugu, jamaa, marafiki na wateja wetu wote.

Marhabban Ya Ramadhan! Tunawaombea kheri na  barka za Ramadhan. Mwenyezi Mungu atujaalie mfungo wa rehma, toba na kusame...
19/03/2023

Marhabban Ya Ramadhan! Tunawaombea kheri na barka za Ramadhan. Mwenyezi Mungu atujaalie mfungo wa rehma, toba na kusamehewa madhambi yetu.

08/03/2023
14/01/2023

Kufana kwa sherehe ama shughuli ni chakula kuwa kitamu na chenye ladha.

ALHAMDULILLAH! Mungu alichoturuzuku tunagawana na jamii. Karibu PinkHijab InitiativeTanzania uchangie kufanikisha ftari ...
13/12/2022

ALHAMDULILLAH! Mungu alichoturuzuku tunagawana na jamii. Karibu PinkHijab InitiativeTanzania uchangie kufanikisha ftari kwa wenye hali duni za maisha

Tunatoa huduma za  Chakula kwenye mikutano ya Ofisi.
09/12/2022

Tunatoa huduma za Chakula kwenye mikutano ya Ofisi.

Tunazingatia matakwa ya mteja. Karibu tukupambie, bei zetu ni nafuu na utaridhika nafsi yako
15/10/2022

Tunazingatia matakwa ya mteja. Karibu tukupambie, bei zetu ni nafuu na utaridhika nafsi yako

Ladha ya nyama choma yetu (barbecue) una mchanganyiko wa kipekee, viungo fresh unaokoleza utamu.... Una hafla/tafrija wa...
20/09/2022

Ladha ya nyama choma yetu (barbecue) una mchanganyiko wa kipekee, viungo fresh unaokoleza utamu.... Una hafla/tafrija wasiliana nasi.

Address

Kiswandui, P. O. Box 158, , Opposite Michenzani Block 7
Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DECCO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DECCO:

Share

Category