Ikespe EVENT Planners

Ikespe EVENT Planners Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ikespe EVENT Planners, Wedding planning service, Box Mwanza, Mwanza.

09/07/2018

KWA MAPAMBO,KEKI, SHELA ZA KUKODI KARIBU SANA IKESPE EVENT PLANNERS.

PIA SEMINA MAALUM KWA BI HARUSI MTARAJIWA (KUFUNDWA) Kwa gharama Nafuu.

KARIBUNI.
0622 121464

Its all about our work. Indoor&Outdoor decor, cakes,Catering services, event planned by us etc
24/03/2017

Its all about our work. Indoor&Outdoor decor, cakes,Catering services, event planned by us etc

Kwa habari ya mapambo ya sherehe yoyote ya nje au ndani ya ukumbi pamoja na chakula cha kisasa chenye taste na sio kilic...
24/03/2017

Kwa habari ya mapambo ya sherehe yoyote ya nje au ndani ya ukumbi pamoja na chakula cha kisasa chenye taste na sio kilichojazwa maviungo mpaka kupoteza ladha! Lakini kwa habari ya cake za aina zote usisite kututumia Ikespe Event Planners.
Tupigie 0622/0673 121 464.

Garden planners and making. 0673 121464.
02/03/2017

Garden planners and making. 0673 121464.

Kwa mahitaji ya kukodisha shela,Upambaji na ushauri juu shughuli yako yoyote tuone kukusaidia kuplan kwa bei nafuu. 0673...
25/02/2017

Kwa mahitaji ya kukodisha shela,Upambaji na ushauri juu shughuli yako yoyote tuone kukusaidia kuplan kwa bei nafuu. 0673 121464. Karibuni

23/02/2017

Kwa wale wenye tatizo la kukosa hamu ya kula, bidhaa hizi ndio suluhisho kuanzia mtoto wa miaka 2 mpaka miaka 102. Piga/whatsup 0673/0622 121 464

Kwa mahitaji ya cake aina zote kuanzia sh. 25,000/= mpaka 1,000,000/= utapata cake nzuri na utafurahia huduma zetu. Wasi...
28/12/2016

Kwa mahitaji ya cake aina zote kuanzia sh. 25,000/= mpaka 1,000,000/= utapata cake nzuri na utafurahia huduma zetu. Wasiliana nasi kwa namba 0622/0767 121 464. Karibu sana.

27/12/2016

Hellow!
Karibuni sana kwa Office yetu kwa shughuli ya kufanyiwa maandalizi ya shughuli yako yoyote ile.
ZINGATIA USHAURI NI BURE KABISA KWA VITU VINAVYOUMIZA KICHWA KWA WENYE SHUGHULI.
Pamoja na kutoa huduma ya kuplan shughuli yako pia tuna huduma zifuatazo.
1. Tunafanya upambaji wa kumbi za ndani na nje kwa gharama ya pesa yako uliyonayo na kwa shughuli yoyote ile.
2. Tunapika chakula cha sherehe na hata misiba kulingana na uwezo wako.
3. Tunakodisha Gauni la bibi harusi (Shela) kwa sh. 180,000/= na tunakupatia vitu k**a kibanio cha kichwani, cheni na hereni, Ua la mkononi, Gloves na Gauni la mtoto mdogo. Kwa pesa hiyo hiyo.
4. Tunatoa huduma ya MC na Music
5. Tunatoa huduma ya Video Shooting na Pictures
6. Tunaandaa Special birthday Events kwa watoto
7. Tunapika Keki za aina zote
8.Tunatengeneza Red, White & Blue carpet kwa shughuli yoyote.
9.Tunadizain Bustani za Maua Majumbani,Maofisini n.k
10. Tunatoa Mafunzo ya Awali kwa Bibi harusi watarajiwa.
TUNAPATIKANA KANDA YA ZIWA NA OFISI ZETU ZIKO JIJINI MWANZA. KARIBU TUKUHUDUMIE, Wasiliana nasisi kwa namba hizi 0622/0673/0767 121 464.

Address

Box Mwanza
Mwanza

Telephone

0622121464

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ikespe EVENT Planners posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share