MC ABRAH TZ

MC ABRAH TZ Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MC ABRAH TZ, DJ, Nyarugusu camp, Kasulu.

Kutoka kwa  #
07/09/2025

Kutoka kwa #

Mpaka sasa siamini 🪦😭 R.I.P
07/09/2025

Mpaka sasa siamini 🪦😭 R.I.P

26/08/2025
07/08/2025

HARAKA HARAKA
pesa ambazo zimetengenezwa n'a wahasi M23 zitakazo tumika goma n'a Bukavu tayari zipo katika ziara ya uzinduzi mnamo siku chache tunazo mbeleni

Mwanaume mmoja huko Japan, Otou Yumi hatimaye ameanza kuongea na mke wake baada ya kuamua kumnunia mke huyo kwa miaka 20...
07/08/2025

Mwanaume mmoja huko Japan, Otou Yumi hatimaye ameanza kuongea na mke wake baada ya kuamua kumnunia mke huyo kwa miaka 20. Kila aliposemeshwa na mke wake alikuwa haongei bali huitika kwa kichwa au kuguna.

Pamoja na kumnunia mke wake lakini Otou aliendelea kuhudumia familia yake na kuongea na watoto wake.

Mwanaume huyo alifikia uamuzi huo kwa madai kwamba mke wake alikuwa hamjali yupo bize na watoto.

Mtoto mkubwa wa mzee huyo aliamua kuchukua jukumu la kuwapatanisha kupitia kipindi cha televisheni na sasa wameanza kuongea.

Yupi kati ya hawa wawili   Kiboko "Hippo" na Mamba "Crocodile" ukikutana nae ndani ya maji unaweza kupambana nae?Hebu wa...
07/08/2025

Yupi kati ya hawa wawili Kiboko "Hippo" na Mamba "Crocodile" ukikutana nae ndani ya maji unaweza kupambana nae?Hebu wataalamu wa mbuga tupeni majibu juu ya hili Naaam

NASA inakusudia kujenga vituo vya nyuklia mwezini!Chanzo: SkynewsArabic.Mwisho watatuambia mwezi unakaribia kuanguka kum...
06/08/2025

NASA inakusudia kujenga vituo vya nyuklia mwezini!
Chanzo: SkynewsArabic.

Mwisho watatuambia mwezi unakaribia kuanguka kumbe ni balaa lao.

Thamani ya utajiri wa Mark Zuckerberg, imepanda baada ya kuongezeka kwa hisa zake ambazo zimemfanya kuingiza Dola Bilion...
05/08/2025

Thamani ya utajiri wa Mark Zuckerberg, imepanda baada ya kuongezeka kwa hisa zake ambazo zimemfanya kuingiza Dola Bilioni 26 sawa na Trilioni 65 kwa siku moja (Saa 24).

Mapato hayo makubwa ndani ya saa 24 yametokana na 'Meta Q2' kuongezeka kwa zaidi ya Asilimia 12.

Mkwanja huo ulioingia umeongeza utajiri wake hadi kufikia Dola Bilioni 271 na kumfanya kuwa mtu wa tatu kwa utajiri duniani.

Twambie mpaka muda huu we ushaingiza shingapi?

Rais wa Afrika Kusini, Cyril   Jumatatu ya wiki hii amevitaja vikwazo vya ushuru ilivyowekewa na Marekani na ambavyo vit...
05/08/2025

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Jumatatu ya wiki hii amevitaja vikwazo vya ushuru ilivyowekewa na Marekani na ambavyo vitagusa baadhi ya sekta muhimu za nchi hiyo, k**a “vinavyoumiza” akiahidi Serikali kuchukua hatua kupunguza makali.

Marekani iliiwekea Afrika Kusini ushuru wa asilimia 30, ambao utaathiri sekta ya viwanda hasa vya magari, huku ajira zaidi ya laki 3 zikitarajiwa kupotea.



📷Maktaba

Address

Nyarugusu Camp
Kasulu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MC ABRAH TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category