29/09/2025
Ndugu wateja, kwa niaba ya Amic Event and General supplies tunasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wetu Josephine Mshamu/ mama Amic kilichotokea tar 24.09.2025,tunawapa pole wale wote walioguswa na msiba huu, hivyo baas kwa mawasiliano kwasasa mnaweza tumia number 0789304000.
Asante saana
Kutoka uongozi Amic.