30/06/2026
Kwa sasa unaweza tumia mfumo wa KADI SMART - Mialiko ya Kisasa Haraka na Raisi kujihudumia mwenyewe vile upendavyo.
Sisi tunasema JIPENDELEE
- Tengeneza Event
- Tuma Kadi
- Tazama RSVP kwa wakati
- Download Report
- Manage Michango
- Uza Tiketi
- Scan Kadi
- Tuma Bulk SMS
Vyote ni ndani ya Platform moja ka https://kadismart.co.tz
Tembelea sasa jisajili na uanze KUJIPENDELEA