Avy events tz

Avy events tz Tunahusika na upambaji wa sherehe, catering, photography , kumbi za sherehe, muziki na ushereheshaji.

01/09/2026
Ladieeeeees, hamjasahaulika, mnasubiri nini? Wakati ndio huu. Hii si ya kukosa fanya kutucheck maana ukikosa hii utajuti...
26/08/2026

Ladieeeeees, hamjasahaulika, mnasubiri nini? Wakati ndio huu. Hii si ya kukosa fanya kutucheck maana ukikosa hii utajutia sana. Its a sip and paint day. Andaa vibe lako tu vingine utavikuta huku. Zingatia pia dresscode a white brouse and jeans 😜😜
Tupigie sasa kwa simu no: 0743496220 au 0711800932

Lushoto are you ready? Ule muda wa kuvumbua kipaji cha mwanao ndio huu. Mlete mwanao aungane na wenzake kutoka sehemu mb...
26/08/2026

Lushoto are you ready?
Ule muda wa kuvumbua kipaji cha mwanao ndio huu. Mlete mwanao aungane na wenzake kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya Lushoto wakionyesha ubabe wao katika kupaint, kufinyanga, kuimba, kucheza na kusikiliza simulizi aka hadithi mbalimbali za kufundisha. Chakula cha mchana na vinywaji vitatolewa, lakini pia mwisho mwanao ataondoka na canvas aliyoipaint mwenyewe k**a ukumbusho. Hii yote kwa gharama ndogo tu ya tsh 20,000/=. Unapangaje kukosa?
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu no 0743496220 Madam Fellyjoh au 0711800932 Madam Rosecharms.

Address

Kunduchi-Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Avy events tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category