The Africa best cake

The Africa best cake Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The Africa best cake, kariakoo, Dar es Salaam.

Heavy duty mixer170,000
09/03/2026

Heavy duty mixer
170,000

Coffee table 100,000
09/03/2026

Coffee table 100,000

12/11/2025

Wapenzi mnaopenda vyombo nawaita hapa
Nawapostia vyombo vizur na bei rahs

Hello bosses njoo ujipatie Oven lit 48 kwa180,000 tuNipigie au text (watsup) 0622182050Deliver ipo
12/11/2025

Hello bosses njoo ujipatie Oven lit 48 kwa
180,000 tu
Nipigie au text (watsup) 0622182050
Deliver ipo

19/10/2025

Hello bosses jipatie hand mixer kwa elf 20 tu

19/04/2024

Tumerudi tenaaaa🥰🥰🥰

Aya wapendwa valentine ndo hyo inakaribiaa, nasi tumeshusha bei zetu jipatie cake k**a hyo kwa elf 15 tu ufurahie na uwa...
29/01/2021

Aya wapendwa valentine ndo hyo inakaribiaa, nasi tumeshusha bei zetu jipatie cake k**a hyo kwa elf 15 tu ufurahie na uwapendao

NB: delivery unalipia mwenyewe,
Weka order siku mbili kabla ya valentine

Karibuni sanaa❤️

Sikia hiiJe? Unajua kuwa chanza cha marumaru(tiles) kufubaa au kuchakaa kwenye nyumba yako chanzo ni wewe mwenyeweUmesha...
27/02/2020

Sikia hii
Je? Unajua kuwa chanza cha marumaru(tiles) kufubaa au kuchakaa kwenye nyumba yako chanzo ni wewe mwenyewe
Umeshawahi kujiuliza maswali haya?
Je nasafishaje marumaru yangu?
Sabuni gani nzuri kwa kusafishia marumaru yangu
Ngoja nikujuze
Wengi tumezoea kusafisha nyumba kwa maji yoyote, "ndio maji yoyote" utakuta mama anasafisha nyumba na maji ambayo tayari ameshafulia❌
Fanya hivi
1. Fagia nyumba yako kusanya uchafu na kuutupa
2. Weka maji safi kwenye ndoo au chako cha kudekia
3. Mwaga sabuni yako kwenye marumaru yako kisha sugua kwa dakika kadhaa( sabuni inayofaa zaidi hapa ni ya maji)
4. Baada kusugua sasa anza kudeki nyumba ako kwa kutumia maji safi
5. Acha marumaru yako yakauke vizuri.

Kupata sabuni nzuri ya maji na yenye harufu nzuri piga
Namba 0765676729
Watsup no 0765676729
Pata sabuni hii kwa shilingi elf moja tu

Mwanamke pendezesha nyumba yako

Karibuni sana ❤️❤️
11/01/2020

Karibuni sana ❤️❤️

1st month 1st customer 🌹🌹🌹Happy birthday🎂🍴🍸 our satisfied customer May God give you what you need 😍
01/12/2019

1st month
1st customer 🌹🌹🌹

Happy birthday🎂🍴🍸 our satisfied customer
May God give you what you need 😍

23/09/2019

23/09/2019

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Telephone

+255620120507

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Africa best cake posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share