02/07/2026
IFAHAMU ITIFAKI YA BENDERA WANAPOKUTANA WAKUU WA NCHI 2
Wanapokutana wakuu wa nchi 2 kwa pamoja, itifaki ya bendera na ukaaji hua k**a ifuatavyo, Mkuu wa nchi mwenyeji atasimama kushoto mwa mkuu wa nchi mgeni, sawa na ambapo mkuu wa nchi mgeni atasimama au kukaa kulia mwa mwenyeji wake, na bendera za nchi hizo zote zitakaa nyuma ya wakuu hao wa nchi k**a walivyosimama au kukaa.
Unahitaji kampuni yenye wataalamu wa kusimamia shughuli yako kwa uhakika na gharama nafuu, basi tupo hapo kushughulikia hilo
Wasiliana nasi leo 0719263074
Tupo Dar es salaam Tanzania
Picha na Ikulu Tanzania