Elisha mabanda ya chuma

Elisha mabanda ya chuma karibuni kw Elisha mabanda ya chuma tunapatikna kimara mwisho dar bei zetu ni nafuuu sana

15/07/2026
03/06/2026

Check out Mr Pizzo melody1’s video.

03/06/2026

Watch, follow, and discover more trending content.

Ukubwa wa wa hili Banda ni 7kwa5 lipo ofisini kwetu kimara mwisho dar 0692536673 karibuni sanaa
13/05/2026

Ukubwa wa wa hili Banda ni 7kwa5 lipo ofisini kwetu kimara mwisho dar 0692536673 karibuni sanaa

Hellow ndugu wateja karibuni sana kwa Elisha mabanda ya chumasSisi ni watengenezaji wa mabanda ya chuma kwaajiri. Ya bia...
06/05/2026

Hellow ndugu wateja karibuni sana kwa Elisha mabanda ya chumas
Sisi ni watengenezaji wa mabanda ya chuma kwaajiri. Ya biashara mbali mbali ofsini zetu zipo kimara mwisho dar

Ukubwa wa ili Banda ni 7kwa7. Hati ni g20
Bei ni 750k
Tunakupaulia na kukupigia rangi nyekundu kwaajri ya kutu

Karibuni sana ndugu zangu .

Kumbuka kwetu hakuna kutapeliwa biashara yetu ni ya uaminifu %💯

Karibuni ndugu wateja.

06/04/2026
06/04/2026

Ya anko t

05/04/2026

Huyu sio mwema

Hello karibuni sana kwa Elisha mabanda ya chuma. Sisi ni watengenezaji wa mabanda ya chuma kwaaajiri ya biashara mbalimb...
04/04/2026

Hello karibuni sana kwa Elisha mabanda ya chuma. Sisi ni watengenezaji wa mabanda ya chuma kwaaajiri ya biashara mbalimbali ofisi zetu zipo Kimara mwisho dar

Haya kwenye picha yoote yapo tayari bei ni tofauti tofauti.
1.. ilo ni used lipo tegeta kontena ukubwa wake ni 5kwa6 nati ni ngumu bei 560k jipya ni 650k kwa hati ngumu k**a izo

2.. lipo ofsini kwetu Kimara mwisho ukubwa wake ni 5kwa7 bei ni
680k Bati ngumu

3... Lipo ofisini kwetu Kimara mwisho ukubwa wake ni 7kwa7 bei ni 630k
Jipya bei 750k.

Karibuni sana ndugu zangu bei zetu ni nafuuu saana karibuni sana


Haya mabanda yoote ni mali halali sio za uwizi karibuni sana ndugu zangu

0692536673
0692 536 673

Address

Kimara Mwisho
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elisha mabanda ya chuma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share