16/08/2025
Me๐ง:- mambo๐
Dem๐ฐ:- poa๐คจ
Me๐ง:- unaishi wapi๐?
Dem ๐ฐ:- hapa tu Nairobi ๐ฒ
Me๐ง:- uko chuo๐?
Dem๐ฐ:- ndio๐
Me ๐ง :- chuo gani โบ๏ธ
Dem ๐ฐ:- Urumah University ๐ฅฐ
Me๐ง:- Si NAMI paci unionee uruma na unipe fursa ya life yako.
Dem๐ฐ:- ohooo!๐ I am already to deserve you ๐
Me๐ง:- poa nimeangalia profile picture zako nimekupenda ghafla...๐"
Dem๐ฐ:- Ahsante, una gari aina gani๐?!
Me๐ง:- Nina land cruiser ๐"
Dem๐ฐ:- wahoo! Upo sahihi kunipenda najisikia raha ku chat na wewe๐".
Me๐ง:- Ila Gari sio langu nimesaidiwa na rafiki yangu๐".
Dem๐ฐ:- Nikuambie kitu!! Mimi nina boyfriend wangu na tunapendana sana๐
Me๐ง:- land cruiser hiyo nimesadiwa na rafiki yangu kwasababu Gari yangu Harrier new model ilikuwa service๐"
Dem๐ฐ:- nakutania tu sina boyfriend, Nilikua naye zamani mwenyewe tuliachana alikua mjinga mjinga sura mbaya walikua wananicheka wenzangu siku hizi nipo Single๐๐".
Me๐ง:- wahoo Safi my dear ila Jana bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu nakupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni๐ฅน"
Dem๐ฐ:- acha ni kuambie ukweli tu, Nina mume na watoto wawiliโ๏ธ"
Me๐ง:- poa usijali ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni na pia wataniamishia China, jijini Bahijing kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa General Manager๐ด๏ธ.
Dem๐ฐ:- jamani my dear, Nikuambie ukweli kutoka moyoni Mume wangu na Watoto ๐ชwote walifariki miaka minne iliyopita.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Wanawake mnatupeleka wapi Jameni?!!
Usicheke na usahau Kuni follow finya apo juu option ya follow ili ucheke kesho pia๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ