18/09/2026
LIFE saa zingine ni k**a game ya LUDO...
Kuna wale wataROLL DICE mara jas na wapate SIX yao watoke mapemaaa...
Alafu kuna wewe pia unaweza kua umeroll dice mara k**a tano lakini bado six yako haijalink..
Kitu najua ni ati bora bado tunacheza hii game ya LIFE na tunaendelea kuroll dice,,six yako LAAZIMA itamwokalize na dakika ya SHOMWI utatoka..So wee endelea kuroll dice ata kuende aje juu kutoka nayo io ni laaazima...
Inakuaje lakini watuuuu??mumeshinda best??si mkuwe na usiku jamo PEACEFUL alafu weekendi jo iwararu...
πβοΈ