VOLT Entertainment

VOLT Entertainment Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from VOLT Entertainment, Event Planner, Mariakani.

MABOSS HALISI ✌️
📍 MARIAKANI BARRACKS JUNCTION Manager blessed
TELL: 0741980238
TikTok:
YouTube: ENTERTAINMENT LAMOBOSS | @ VOLT ENTERTAINMENT MARIAKANI

27/06/2025

Be the judge... VOLT Entertainment 🔥🔥🔥

27/06/2025

MKILO MIEMBE MITANO VILLAGE siku ni Leo... mpaka che🥱

🎉 I earned the emerging talent badge this week, recognizing me for creating engaging content that sparks an interest amo...
19/06/2025

🎉 I earned the emerging talent badge this week, recognizing me for creating engaging content that sparks an interest among my fans!

07/06/2025

Vibe na Maboss 👊 uko wapi wewe 🫵 tushakiwasha huku Drive Inn hapana chelewa... Eid Mubarak to you all...masaa ni haya kuja sasa 💯

Vibe na Maboss 👊
05/06/2025

Vibe na Maboss 👊

Ikija tunawapa, Iko hivi mafans Leo date 20/05/2025 tupatane pale Chilumani ikiwa ni pambio style kwa Mji wa Mzee Ngowa ...
20/05/2025

Ikija tunawapa, Iko hivi mafans Leo date 20/05/2025 tupatane pale Chilumani ikiwa ni pambio style kwa Mji wa Mzee Ngowa tufariji familia wakati huu mgumu.
Face ni k**a mnavyoiona✌️

VOLT Entertainment  Tunajua bado tuko wapya kwenye hii industry, lakini tunapiga hatua moja baada ya nyingine; hatuigi m...
16/05/2025

VOLT Entertainment
Tunajua bado tuko wapya kwenye hii industry, lakini tunapiga hatua moja baada ya nyingine; hatuigi mtu, tunajishughulikia na tunahandle biashara yetu kwa weledi💯. Tunawapa heshima walotutangulia ila hatukubali kamwe dharau 🫵
Sisi sio wa kupanga spika tu, bali tunaleta vibe kali kila event tunayohusika nayo. Ukitaka vibe bila fujo bet nasi👊
Tuko tofauti, tuko focused, tuko VOLT!

Address

Mariakani

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VOLT Entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to VOLT Entertainment:

Share

Category