Malindi Times

Malindi Times Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Malindi Times, Event Planner, Kwachocha, Malindi.

Wakati ni sasa....This   was drafted in Washington D.C to make us slaves in our own country. Na kwa Kauli moja tunasema ...
25/06/2024

Wakati ni sasa....
This was drafted in Washington D.C to make us slaves in our own country.
Na kwa Kauli moja tunasema

Haya nyie mnaojiita wasanii wakubwaa, hii inawahusu usikose kusikiliza haya mazungumzo ili ujue una hivyo vigezo vya kui...
29/06/2023

Haya nyie mnaojiita wasanii wakubwaa, hii inawahusu usikose kusikiliza haya mazungumzo ili ujue una hivyo vigezo vya kuitwa msanii mkubwaaaa????
Ni kesho pale Radio Jahazi 87.7 na mtangazaji Richie-the-boy Captain Mafishy na Chini Ya Jua.
Ni yenu hii wasaniii.

Produza na mmiliki wa studio za Crack Sound Records  Crack auasi ukapera.Mfalme Jay Crack amemuoa mpenzi wake ambaye pia...
21/06/2023

Produza na mmiliki wa studio za Crack Sound Records Crack auasi ukapera.
Mfalme Jay Crack amemuoa mpenzi wake ambaye pia ni mwanamziki wake Morinta Vocalist katika hafla iliyoandaliwa siku ya jana na kuhudhuriwa na watu wachache ikiwemo baadhi ya wasanii kina SUSUMILA, PAT C BABA na wengineo.
Morinta ambaye kwa sasa anatamba na kibao cha kilichoandaliwa na producer Jay Crack, alijulikana kupitia studio za Crack sound Records na ni mmoja wa wasanii wa k**e ambao wanafanya vizuri pwani ya Kenya.
Tetesi zinasema kuwa wawaili hao waliamua kufunga ndoa hiyo haraka haraka baada ya kugundua kuwa kipusa huyo ana ujauzito.
Tuko kwenye harakati za kumtafuta Mfalme ili atujuze mengi kuhusiana na tetesi hizi.
Congratulations

20/06/2023

((((((((((On Air))))))))) na Richie-the-boy
...mida ndio mtu wangu, vipi upande wako Hali ikoje?
Karibu mpangoni mpaka mida ya kumi kamili.

Sifa Kleen. Msanii wa kizazi kipya awachilia video yake Naughty pale Youtube. Sifa ni msanii kutoka Matsangoni Kilifi Co...
20/11/2022

Sifa Kleen. Msanii wa kizazi kipya awachilia video yake
Naughty pale Youtube. Sifa ni msanii kutoka Matsangoni Kilifi County anaefanya kazi yake ya muziki jijini Nairobi.

Stars keep on rising. Stars Twinkle and Shine.

Audio: Spec MusicAudio Mixing & Mastering : Cosenko & TimelessVideo: Picx World Studios & KleenMadeITVideography: Ward Ganga Audio Available for DownloadMdun...

Tunakwenda na  .It's Friday wana Peace Champions watakuwa ndani ya   pale Radio Jahazi 87.7 na Richie-the-boy.Moro ndo u...
02/03/2022

Tunakwenda na .
It's Friday wana Peace Champions watakuwa ndani ya pale Radio Jahazi 87.7 na Richie-the-boy.
Moro ndo uwo lala nao macha ulale nao kiheri halafu fuishi nao Ijumaa.
Hubiri Amani

THE MAGICAL Tangeri lounge Malindi Buntwani road opposite malindi fishing club.Today Monday ALL LADIES WE CATER for your...
29/03/2021

THE MAGICAL Tangeri lounge Malindi
Buntwani road opposite malindi fishing club.
Today Monday ALL LADIES WE CATER for your your first drink. Glass of wine or beer.
We are open from 3pm to 9pm KARIBUNI

HELLO MALINDI DO YOU KNOW THERE IS A NEW SPOT IN TOWN.Tangeri lounge Malindi Located opposite malindi tourist market.Sim...
28/03/2021

HELLO MALINDI DO YOU KNOW THERE IS A NEW SPOT IN TOWN.
Tangeri lounge Malindi
Located opposite malindi tourist market.
Simple.clean and not expensive.
Photos by Ken Art

REAGAN DANDY matzangoniBoyPale LENAS JOINT 31st december 2020 Waaaa ukienda na demu wako naskia nyote mwalipa 300 ila ki...
28/12/2020

REAGAN DANDY matzangoniBoy
Pale LENAS JOINT 31st december 2020
Waaaa ukienda na demu wako naskia nyote mwalipa 300 ila kila mtu akienda kivyake entry ni 200

Yes MC MANGO MANGO amerudi kusakata lingala na hii krismas yupo lenas joint na kikosi kizima cha watangazaji wa Radio Ja...
24/12/2020

Yes MC MANGO MANGO amerudi kusakata lingala na hii krismas yupo lenas joint na kikosi kizima cha watangazaji wa Radio Jahazi 87.7.
Michezo yake ina ubunifu mkuu na huleta furaha kwa watu wa kila umri.
Ili kufurahia krismas k**a familia basi fika LENAS JOINT kesho 25th.
Kiingilio
100 adult
50 watoto

Je unatambua kua ijumaa hii 27th Friday MALINDI hakukaliki?Ni USIKU WA MSANII POLLY toka PillarWorks Studios.K**a hujanu...
25/11/2020

Je unatambua kua ijumaa hii 27th Friday MALINDI hakukaliki?
Ni USIKU WA MSANII POLLY toka PillarWorks Studios.
K**a hujanunua tiketi yako ni 100 tu.

Address

Kwachocha
Malindi
80200

Telephone

+254713209909

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malindi Times posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category