08/06/2026
SWALI LA UKWELI:
Hiyo simu unatumia kusoma hii post saa hii, skrini iko namna gani? 😅👇
1️⃣ Iko safi kabisa k**a kioo ya gari mpya (Congratulations!).
2️⃣ Iko na "spider-web design" (imepasuka kiasi lakini bado unalazimisha kuona ma-posts).
3️⃣ Imeparara kabisa, hadi typing ni kubahatisha herufi!
Weka namba yako hapo kwa comments tuone ni nani anahitaji maombi au anahitaji kututembelea.
Ukichoka na hiyo spider-web, unajua mahali tunapatikana. Beyond Technology, Kiungani along Kitale-Kakamega road. Tunabadilisha displays zikuwe mpya kabisa! 💯
📞 Hotlines: 0700 046 844.
Razz Technician Razz Rah Lueni Sibvya Beyond Technology