Jay wa nyanya1

Jay wa nyanya1 | BARBER(Kinyozi) 💎
| Liverpool fan page🥇| Always Liverpool | Baba Najma (31 -08 -2023) 🍼 | Najma juma (3 yrs old) | Call +254 727 038 173
(2)

▪️Kijana wetu Rio Ngumoha ameitwa kwenye kikosi cha England na kocha Thomas Tuchel kinachoenda International break wiki ...
18/09/2026

▪️Kijana wetu Rio Ngumoha ameitwa kwenye kikosi cha England na kocha Thomas Tuchel kinachoenda International break wiki inayokuja, hongera sana Rio....✍️


▪️Sasa Liverpool tumecheza mechi 6 na kati ya hizo zote hakuna lose hata moja, tumeshinda 3 na kutoka sare 3 - hawa wana...
18/09/2026

▪️Sasa Liverpool tumecheza mechi 6 na kati ya hizo zote hakuna lose hata moja, tumeshinda 3 na kutoka sare 3 - hawa wanaosema Liverpool haijielewi na wao wanajielewa kweli?

▪️Mpaka sasa tuko na 50% ya ushindi, kweli Epl tuko na alama 6 nyuma ya Arsenal lakin sioni k**a tumeanza msimu vibaya viile maana bado Iraola anatafuta first eleven ile ambayo itakuwa tishio sana msimu huu na natumaini hivi karibuni ataipata....✍️

▪️Tulieni wapinzani, tunakuja kusumbua alafu mkija kushtuka itakua mshachelewa....✍️


▪️Jérémy Jacquet wa Liverpool ataitwa kwenye kikosi cha Ufaransa cha Zinédine Zidane leo....✍️(Chanzo: Santi_J_FM)
18/09/2026

▪️Jérémy Jacquet wa Liverpool ataitwa kwenye kikosi cha Ufaransa cha Zinédine Zidane leo....✍️

(Chanzo: Santi_J_FM)


▪️Mpaka sasa msimu huu nitafutie Assist tamu zaidi ya hii Araujo, aina za assist k**a hii zilikuwa zinapigwa na Ronaldin...
17/09/2026

▪️Mpaka sasa msimu huu nitafutie Assist tamu zaidi ya hii Araujo, aina za assist k**a hii zilikuwa zinapigwa na Ronaldinho Gaucho tu....✍️


▪️Ikiwa Liverpool inataka kuziba pengo aliloliacha Mo Salah basi wakimbie haraka sana kwa huyu bwana mdogo Estevao....✍️...
17/09/2026

▪️Ikiwa Liverpool inataka kuziba pengo aliloliacha Mo Salah basi wakimbie haraka sana kwa huyu bwana mdogo Estevao....✍️

▪️Ana kila sifa ya kuwa mbadala halisi wa Mo Salah, kile tulichokuwa tunakipata kwa Mo basi hapa tutakipata hicho hicho, hiki ni kipaji halisi....✍️


▪️Cody Gakpo kazalisha 𝟔 𝐆/𝐀 ndani ya mechi 𝟓 msimu huu....✍️▪️⚽🅰️ vs Tottenham▪️✖️ vs Fulham▪️🅰️🅰️ vs Ipswich Town▪️🅰️ ...
17/09/2026

▪️Cody Gakpo kazalisha 𝟔 𝐆/𝐀 ndani ya mechi 𝟓 msimu huu....✍️

▪️⚽🅰️ vs Tottenham
▪️✖️ vs Fulham
▪️🅰️🅰️ vs Ipswich Town
▪️🅰️ vs Forest
▪️⚽ vs Newcastle

▪️Mwamba karudisha makali yake yaliyokosekana msimu uliopita....✍️


▪️€150M Florian Wirtz 🫡
17/09/2026

▪️€150M Florian Wirtz 🫡


▪️Liverpool itacheza dhidi ya Chelsea katika raundi ya nne ya Carabao Cup....✍️
17/09/2026

▪️Liverpool itacheza dhidi ya Chelsea katika raundi ya nne ya Carabao Cup....✍️


▪️Cody Gakpo chini ya Andoni Iraola amekuwa wa moto sana, kila mechi lazima azalishe Assist au goli....✍️▪️Alafu sasa wa...
16/09/2026

▪️Cody Gakpo chini ya Andoni Iraola amekuwa wa moto sana, kila mechi lazima azalishe Assist au goli....✍️

▪️Alafu sasa wanazengo hii mali walikuwa wanaipiga mnada, muda huu k**a mambo yalienda k**a walivyokuwa wanataka tungejilaumu sana maana huyu ndio tegemeo letu msimu huu....✍️


▪️Liverpool wanafuatilia uwezekano wa kumsajili tena Trent Alexander-Arnold kutoka Real Madrid....✍️▪️Trent mwenye miaka...
16/09/2026

▪️Liverpool wanafuatilia uwezekano wa kumsajili tena Trent Alexander-Arnold kutoka Real Madrid....✍️

▪️Trent mwenye miaka 27 ameanza mechi 2 tu kati ya 6 tangu Denzel Dumfries ajiunge na Real Madrid....✍️

▪️Hata hivyo, hakuna mazungumzo rasmi yaliyoanza kwa sasa, huku Trent akiwa bado ana mkataba na Real Madrid hadi mwaka 2031....✍️

(Chanzo: Fichajes)


Address

Mombasa
Kaloleni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jay wa nyanya1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share